Mbowe ni Mbumbumbu wa Historia ya Nchi yake au Ukaidi tu?

angelifanya JK au makamba hili

angeonekana hafai hana maana, ni kiongozi gani ambaye anadata feki
ila kafanya kiongozi ambaye wanachadema wanadhani ni mtukufu ( wakati ni muhuni ktk kundi lile la WAPUKI) mvuta bangi, DJ na mwenye kuwauza dada zetu kwenye lile danguro lake
 
MwF1,
Ni sawa, lakini Mbowe ni Mw'kiti wa chama cha kitaifa, hivyo ni kiongozi wa kitaifa, kutojuwa kwake habari za viongozi wa kitaifa waliopita kunalenga upeo fulani wa ufahamu wake wa historia ya nchi yake, kama angelisema kwa Nyerere au Kawawa ungemuonaje? ujuwe hii ni sawa na kusema kuwa Nyerere alifanyakazi na kiongozi mbumbumbu, kitu ambacho kinaashiria msemaji haelewi historia ya mtu anayemsemea kwa mujibu wa hadhi na ngazi yake ya uongozi (Waziri, Makamo wa rais na rais).

Mkuu, elimu ya za viongozi wetu wote ni muhimu kwa historia ya nchi yetu (sielewi kwanini umesema "elimu ya mzee huyu"), ndiyo maana Watanzania wakahoji elimu ya mgombea mwenza wa chadema katika uchaguzi ulipita inawapa wasiwasi.

Unapoomba dhamana za kitaifa suala la elimu siyo personal history/issue bali ni haki ya unaotaka kuwaongoza kujuwa na kukupima uwezo wako. Nadhani utakuwa shahidi tulipokuwa tunahoji elimu feki za baadhi ya webunge wa bunge lililopita kwa maana hiyo hiyo, na kama ingekuwa ni suala lao binafsi kusingeonekana umuhimu wa kujuwa elimu zao.

hivi Kuwa Std 7 ni maana yake wewe ni mbumbumbu?
 
junius
unategemea nini kutoka kwa dj, na mtu aliekimbia elimu?

lakini ana hela kuliko ukoo wenu wote.lengo ya elimu ni kujifunza na kutawala mazingira.swali nani ana akili kati ya dr.kikwete na bill gates au sir branson''(ambao hawana degree)?
 
We mwandishi una hasira na mbowe mpaka moshi unafuka kichwani mwako....pole sana....sijui km huna chuki binafsi ndani yake maana uandishi wako una lako jambo si bure............................njoo ufanyiwe maombi yesu anaokoa
 
Nahisi hapa tatizo sio mbowe kwa mwandishi ila tatizo ni mambo ya ccm-b yaani ile taasisi ya kiislamu au kwa kifupi cuf
 
Huu ndiyo ukweli na haihitaji kufanya utafiti wa ndani kujuwa hili kwa Mh.Freeman Mbowe, Mwenyekiti m-babe wa chadema, kiongozi wa upinzani bungeni na mfanyabiashra wa kibepari Tanzania akiwa ni Mkwe wa muasisi wa chadema, mzee E.Mtei ni mbumbumbu wa historia ya nchi yake ama mkaidi tu .

Haya yanahusiana vipi na kutojua kwake historia???

Mijitu mingine bana....!!!
 
Junius,U are very right kwamba tunapowakosea wengine ni jambo la kiungwana kuwaomba radhi tuliowakosea na Kama hivyo ndivyo Mbowe imempasa kuomba radhi!!

Nevertheless,that bolt frm the blues doesnt mean kwamba Mbowe kuwa sio kiongozi mzuri,he stll is a very good leader na kama ni Mbumbumbu basi taifa hili linahitaji mambumbu kama Yeye 1000 ili kupiga hatua!!
No one is perfect,just one trivial misconception isnt enuf to establish that Mbowe si Kiongozi mzuri!!

Nakumbuka Kikwete akiwa Rais alishawahi kutamka kwamba hafahamu kwa nn Watanzania bado Masikini,wht do u say abt ths very wierd and hilarious comment frm a head of state?!

Ww ungekomalia hoja yako kwamba Mbowe haombe radhi mm nilishaanza kukuona mtu makini lakini kutuambiwa habari ya kuwa mkwe wa Mbowe ni Mtei is Irrelevant and absurd.That disqualifies u as a great thinker rather ni mtu uliyejaa Hila!!!

However,I respect Mbowe and find him as one of most productive and influential Leader in Tanzania and Africa! In light of ths,I urge him to be strong enuf to apologise!!
Human Beings are Fallible,I love Mbowe and the whole Chadema team,Oooh Yes I do!

Chadema Oyeeeeeeeeeeee!!!!
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman mbowe huwa hakosei hata ile kauli yake alisema Chadema hawatahudhuria mahakamani tena kuhusiana na kesi iliyofunguliwa dhidi yao, hata kama kwa kufanya hivyo kutafanya wakamatwe na kurudishwa tena gerezani. siku tumewaona mahakamani Arusha kuuliza vipi wamehudhuria wakati walitangaza kutokwenda mahakamani? tukaambiwa Mbowe hakusema hivyo..huwa hakosei
 
lakini ana hela kuliko ukoo wenu wote.lengo ya elimu ni kujifunza na kutawala mazingira.swali nani ana akili kati ya dr.kikwete na bill gates au sir branson''(ambao hawana degree)?

Kumbe hela ni kipimo cha akili?

Hicho kigezo kipya kabisa mkuu!
 
MwF1,
Ni sawa, lakini Mbowe ni Mw'kiti wa chama cha kitaifa, hivyo ni kiongozi wa kitaifa, kutojuwa kwake habari za viongozi wa kitaifa waliopita kunalenga upeo fulani wa ufahamu wake wa historia ya nchi yake, kama angelisema kwa Nyerere au Kawawa ungemuonaje? ujuwe hii ni sawa na kusema kuwa Nyerere alifanyakazi na kiongozi mbumbumbu, kitu ambacho kinaashiria msemaji haelewi historia ya mtu anayemsemea kwa mujibu wa hadhi na ngazi yake ya uongozi (Waziri, Makamo wa rais na rais).

Mkuu, elimu ya za viongozi wetu wote ni muhimu kwa historia ya nchi yetu (sielewi kwanini umesema "elimu ya mzee huyu"), ndiyo maana Watanzania wakahoji elimu ya mgombea mwenza wa chadema katika uchaguzi ulipita inawapa wasiwasi.

Unapoomba dhamana za kitaifa suala la elimu siyo personal history/issue bali ni haki ya unaotaka kuwaongoza kujuwa na kukupima uwezo wako. Nadhani utakuwa shahidi tulipokuwa tunahoji elimu feki za baadhi ya webunge wa bunge lililopita kwa maana hiyo hiyo, na kama ingekuwa ni suala lao binafsi kusingeonekana umuhimu wa kujuwa elimu zao.

Watoto wa visiwani bwana, akili hamna kabisa!!! bifu tu zinawasumbua
 
This is a good point and I thank you Warea for it. Junius kwenye mawazo yake anawaona wenye kisomo cha darasa la saba ni mbumbumbu na hiyo ndiyo issue inayomtatiza. It's a complex. True kama Mh. Mbowe alikosea angekuwa best advised kuomba radhi kwa hilo na kama wengi walivyowahi kusema hapo juu, hiyo si issue kubwa. Junius analikuza hili kosa kwa kuwaita wale wenye hiyo level ya kisomo mambumbumbu - sasa asiyejua historia ni nani? Wengi waliosacrifice kulijenga taifa hili hadi walipokabidhiwa hawa wezi wanaojidai na Phd zao za kununua walikuwa ni darasa la saba or below. Give them their due respect!

Unaweza kunitajia wachache?
 
junius umesema kweli ila tatizo umemgusa ki mungu wa wachaga huyo kwa taarifa yako huwa hakosei mbele ya wagalatia wasio na akili. Nilisema hata akinya hadharani watashangilia,na kumpongeza

Hahahahaaa!Yani wewe kwa akili yako hiyo umeshaona hili ni swala la wachaga...kwa akili yako wachaga wanamtetemekea Mbowe........kwa akili yako Mbowe is the most important person kwa wachaga, kwa akili yako "NDOGO SANA" kila unachokiona kwa Mbowe ni UCHAGA tu!! kila unachokiona kwa CDM ni UCHAGA tu!!

Kama ulitumiwa wakati wa propaganda za ukabila, ujue imekula kwako, wenzako walitumiwa kwenye propaganda za Udini, sasa hivi wamelala chali.....Usikubali kutumiwa hovyo hovyo
:msela::msela::msela:
 
Back
Top Bottom