Mbona siyo wote au wewe umewasikia wote wakisema hivyo, maana hata karume mwenyewe alishasema hadharani kuwa hajashiriki hata katika mpango wa mapinduzi seuze mapinduzi yenyewe.Junius mbona viongozi wote wa Zanzibar wanapotosha juu ya historia ya kweli ya mapinduzi ya Zanzibar, mbona mpaka leo hawataki kutambua kuwa Okello ndio alikuwa kiongozi wa mapinduzi ya Zanzibar na Si mzee Karume,
I know the fanaticism of some of JF members of chadema, hainipi shida hata kidogo...zaidi wanajionyesha udogo wa ufahamu wa viongozi wao wenyewe.Junius umewagusa hapo utaishia kuambiwa kila aina ya maneno na hapa wameanza tu subiria baada ya mda utajuta kwa nn uliwambia huo ukweli........POLE SANA
junius umesema kweli ila tatizo umemgusa ki mungu wa wachaga huyo kwa taarifa yako huwa hakosei mbele ya wagalatia wasio na akili. Nilisema hata akinya hadharani watashangilia,na kumpongeza
nani mgalatia!? We punguani eeh!junius umesema kweli ila tatizo umemgusa ki mungu wa wachaga huyo kwa taarifa yako huwa hakosei mbele ya wagalatia wasio na akili. Nilisema hata akinya hadharani watashangilia,na kumpongeza
MwF1,
Ni sawa, lakini Mbowe ni Mw'kiti wa chama cha kitaifa, hivyo ni kiongozi wa kitaifa, kutojuwa kwake habari za viongozi wa kitaifa waliopita kunalenga upeo fulani wa ufahamu wake wa historia ya nchi yake, kama angelisema kwa Nyerere au Kawawa ungemuonaje? ujuwe hii ni sawa na kusema kuwa Nyerere alifanyakazi na kiongozi mbumbumbu, kitu ambacho kinaashiria msemaji haelewi historia ya mtu anayemsemea kwa mujibu wa hadhi na ngazi yake ya uongozi (Waziri, Makamo wa rais na rais).
Mkuu, elimu ya za viongozi wetu wote ni muhimu kwa historia ya nchi yetu (sielewi kwanini umesema "elimu ya mzee huyu"), ndiyo maana Watanzania wakahoji elimu ya mgombea mwenza wa chadema katika uchaguzi ulipita inawapa wasiwasi.
Unapoomba dhamana za kitaifa suala la elimu siyo personal history/issue bali ni haki ya unaotaka kuwaongoza kujuwa na kukupima uwezo wako. Nadhani utakuwa shahidi tulipokuwa tunahoji elimu feki za baadhi ya webunge wa bunge lililopita kwa maana hiyo hiyo, na kama ingekuwa ni suala lao binafsi kusingeonekana umuhimu wa kujuwa elimu zao.
Huu ndiyo ukweli na haihitaji kufanya utafiti wa ndani kujuwa hili kwa Mh.Freeman Mbowe, Mwenyekiti m-babe wa chadema, kiongozi wa upinzani bungeni na mfanyabiashra wa kibepari Tanzania akiwa ni Mkwe wa muasisi wa chadema, mzee E.Mtei ni mbumbumbu wa historia ya nchi yake ama mkaidi tu .
Mbowe ni mbumbumbu wa historia ya Tanzania au mbishi tu, kusema la haki sina hakika na elimu yake siwezi kusema chochote katika hilo lakini kwa kauli yake mwenyewe kathibitisha kuwa hana uelewa wa kutosha wa baadhi ya mambo ya msingi ya historia ya nchi hii ua ubishi tu.
Kwa kauli yake Mh. Mbowe amesema au amenukuliwa kusema kuwa " ... Mh. Idriss Abdulwakyl Nombe (late), alikuwa na elimu ya darasa la saba...".
Marehemu Mzee Wakyl alikuwa rais wa Zanzibar wa awamu ya nne na makamo wa rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania 1985-90.
Awali nilidhani kuwa Mh. Mbowe ameghafilika,hivyo waungwana wakamkumbusha Mh. Mbowe kuwa kauli yake aliikosea na kiungwana tu awaombe radhi familia ya marehemu kwa kauli yake hiyo ya bahati mbaya. Kwakuwa ukweli ni kuwa Mzee Idriss Abudulwakyl alikuwa ni msomi wa ngazi ya chuo kikuu Makerere Uganda, chuo kile kile alichosoma Nyerere na wasomi wengine wa Tanzania,hilo Mh. Mbowe halijuwi wala hajawahi kulisikia na akadai kuwa anataka kufanya utafiti ndiyo aombe radhi.
Mbowe ameenda mbali zaidi kwa kukataa kuwa amekosea na kushikilia msimamo wake wa kukataa kuomba radhi wanafamilia ya mzee wakyl na hata taasisi alizotumikia.
Mh. Mbowe amesahau kuwa Wakyl alikuwa kiongozi wa kitaifa, ambaye anastahili heshima na hadhi kama viongozi wengine wa kitaifa waliotangulia mbele ya haki.
Anaposhikilia kauli yake ya kumbeza, kumdharau na kumtoa thamani kwa kauli kama hiyo ajuwe kuwa anawatukana na kuwatoa thamani wananchi ambao walimuamini kuwa kiongozi wao na kumuheshimu wakati na baada ya uongozi wake.
Ushauri wa bure kwa Mbowe, kuwa ukaidi wake hauwezi kumfanya masikini wa fedha kusema kweli, lakini heshima yake kama kiongozi wa kitaifa asiyeheshimu viongozi wenzake wa kitaifa itapotea na wananchi watamdharau.
Namkumbusha kuwa kutafuta uaduwi na watu si vyema, asisahau jinsi Mh Mizengo Pinda alivyoivua heshima yake kwa wazanzibari kama nyoka anavyovuwa kanzu yake, kwa Zanzibar Pinda si chochote si lolote hata viongozi wa chama chake huku wanamuona "kojoz" tu.
Hivyo, mbowe asitake hayo yamkute, chama chake hakijuulikani huku, naye anahitaji kishike dola, akubali kuwa amekosea na kuwaomba radhi si CCM bali wanafamilia wa Mzee Idriss na wananchi wa Zanzibar na Tanzania ambao wanawaenzi na kuwaheshimu viongzi wao wa kitaifa.
Hapo penye nyekundu, wewe ndio umekosea kuwaita wenye elimu ya darasa la saba mbumbumbu. Mwenzako hajakosea sana kama unavyodhani. Watanzania walio wengi ni darasa la saba na wamechangia maendeleo kama huyu Idris. Watanzania wote ni sawa. Uongozi ni dhamana tu, na hata darasa la saba anaweza kuwa kiongozi. Kuwa darasa la saba haina maana mtu huyo ni mjinga au hana akili. Ni kwa vile tu alikosa nafasi ya kuingia sekondari.
Sasa wewe ndio utuombe radhi sisi wote wenye elimu ya darasa a saba kwa kutuita mbumbumbu.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni... kama kweli mbowe kasema haya, basi si vibaya akaomba radhiWapemba bwana..
Huu ndiyo ukweli na haihitaji kufanya utafiti wa ndani kujuwa hili kwa Mh.Freeman Mbowe, Mwenyekiti m-babe wa chadema, kiongozi wa upinzani bungeni na mfanyabiashra wa kibepari Tanzania akiwa ni Mkwe wa muasisi wa chadema, mzee E.Mtei ni mbumbumbu wa historia ya nchi yake ama mkaidi tu .
Mbowe ni mbumbumbu wa historia ya Tanzania au mbishi tu,
kwa Zanzibar Pinda si chochote si lolote hata viongozi wa chama chake huku wanamuona "kojoz" tu.
.
huu ndiyo ukweli na haihitaji kufanya utafiti wa ndani kujuwa hili kwa mh.freeman mbowe, mwenyekiti m-babe wa chadema, kiongozi wa upinzani bungeni na mfanyabiashra wa kibepari tanzania akiwa ni mkwe wa muasisi wa chadema, mzee e.mtei ni mbumbumbu wa historia ya nchi yake ama mkaidi tu .
Mbowe ni mbumbumbu wa historia ya tanzania au mbishi tu, kusema la haki sina hakika na elimu yake siwezi kusema chochote katika hilo lakini kwa kauli yake mwenyewe kathibitisha kuwa hana uelewa wa kutosha wa baadhi ya mambo ya msingi ya historia ya nchi hii ua ubishi tu.
Kwa kauli yake mh. Mbowe amesema au amenukuliwa kusema kuwa " ... Mh. Idriss abdulwakyl nombe (late), alikuwa na elimu ya darasa la saba...".
Marehemu mzee wakyl alikuwa rais wa zanzibar wa awamu ya nne na makamo wa rais wa jamhuri ya muungano ya tanzania 1985-90.
Awali nilidhani kuwa mh. Mbowe ameghafilika,hivyo waungwana wakamkumbusha mh. Mbowe kuwa kauli yake aliikosea na kiungwana tu awaombe radhi familia ya marehemu kwa kauli yake hiyo ya bahati mbaya. Kwakuwa ukweli ni kuwa mzee idriss abudulwakyl alikuwa ni msomi wa ngazi ya chuo kikuu makerere uganda, chuo kile kile alichosoma nyerere na wasomi wengine wa tanzania,hilo mh. Mbowe halijuwi wala hajawahi kulisikia na akadai kuwa anataka kufanya utafiti ndiyo aombe radhi.
Mbowe ameenda mbali zaidi kwa kukataa kuwa amekosea na kushikilia msimamo wake wa kukataa kuomba radhi wanafamilia ya mzee wakyl na hata taasisi alizotumikia.
Mh. Mbowe amesahau kuwa wakyl alikuwa kiongozi wa kitaifa, ambaye anastahili heshima na hadhi kama viongozi wengine wa kitaifa waliotangulia mbele ya haki.
Anaposhikilia kauli yake ya kumbeza, kumdharau na kumtoa thamani kwa kauli kama hiyo ajuwe kuwa anawatukana na kuwatoa thamani wananchi ambao walimuamini kuwa kiongozi wao na kumuheshimu wakati na baada ya uongozi wake.
Ushauri wa bure kwa mbowe, kuwa ukaidi wake hauwezi kumfanya masikini wa fedha kusema kweli, lakini heshima yake kama kiongozi wa kitaifa asiyeheshimu viongozi wenzake wa kitaifa itapotea na wananchi watamdharau.
Namkumbusha kuwa kutafuta uaduwi na watu si vyema, asisahau jinsi mh mizengo pinda alivyoivua heshima yake kwa wazanzibari kama nyoka anavyovuwa kanzu yake, kwa zanzibar pinda si chochote si lolote hata viongozi wa chama chake huku wanamuona "kojoz" tu.
Hivyo, mbowe asitake hayo yamkute, chama chake hakijuulikani huku, naye anahitaji kishike dola, akubali kuwa amekosea na kuwaomba radhi si ccm bali wanafamilia wa mzee idriss na wananchi wa zanzibar na tanzania ambao wanawaenzi na kuwaheshimu viongzi wao wa kitaifa.
Aombe mara ngapi na alisha futa hiyo kauli siku nyingi......huyu mwanzisha thread hii ni mkuda tu !Mbona hii ishu ndogo, Mbowe aombe radhi kama aliteleza na kutoa kauli hiyo.
junius umesema kweli ila tatizo umemgusa ki mungu wa wachaga huyo kwa taarifa yako huwa hakosei mbele ya wagalatia wasio na akili. Nilisema hata akinya hadharani watashangilia,na kumpongeza
Mbona siyo wote au wewe umewasikia wote wakisema hivyo, maana hata karume mwenyewe alishasema hadharani kuwa hajashiriki hata katika mpango wa mapinduzi seuze mapinduzi yenyewe.
Ndio alikuwa Nyerere! so what?
I know the fanaticism of some of JF members of chadema, hainipi shida hata kidogo...zaidi wanajionyesha udogo wa ufahamu wa viongozi wao wenyewe.
Inakera! kidogo tu 'chadema yetu'
Mkuu siyo kama hawana akili,bado hawajazitumia akili zao kufikiri sawasawa wakidhani kila wanachofanya viongozi wao ni sahihi tu...mimi siku zote nabaki na msimamo mmoja tu, kiongozi pekee wa chadema anayefikiri sawasawa ni Zitto Kabwe na zamani alikuwa marehemu Chacha Wangwe, nilishasema mara nyingi kama chadema ingepata kuongozwa walau mwezi mmoja tu na hao wawili basi chama kingekuwa mbali zaidi ya kinavyoonekana sasa.