Kwa vilaza wa CCM.. nataka mfahamu kwamba hakuna kiongozi au mwanachama wa chama anayekatazwa kuwa mfanyabiashara, isipokuwa chaa kinaposhika madaraka na ukateuliwa kuongoza SERIKALI, chagua moja, acha biashara ijiendeshe kama shirika huru au liweke sokoni jiondoe ktk uongozi wa shirika.. Huwezi kuwa na ofisi mbili wakati unalitumikia Taifa... Nadhani hata JK ktk kujivua gamba mwaka 2007 aliwaambia mawaziri wake waache kujihusisha na biashara lakini kashindwa utekelezaji wa sheria hii (kama kawaida yake) kwani Azimio la zanzibar limemfunga kengele..