Mbowe naye ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa

Tolowski

Senior Member
Apr 28, 2011
122
20
Watu wa chadema wanafiki sana! Eti wanalalamika viongozi wa ccm ni wafanyabiashara wanaochanganya na siasa! Mbona hawashangai mwenyekiti wao kufanya biashara? Slaa si amkemee basi kama yeye ni mzalendo,au anaogopa kufukuzwa atakosa mil7 kwa mwezi,duh bonge la dili! Mnapoinyoshea mkono ccm,jueni kwamba mnamtouch mwenyekiti wenu indirectly! Mvueni gambizo! Jamaa anamiliki danguro
 
unajua baba yake mbowe marehemu ndiye aliye mpa suti nyerere wakati akienda uk kwa malkia kuomba uhuru wa tanganyika?biashara freeman mbowe kaikuta ni ya baba yake!yeye ni mwanasiasa
 
Hata Ndesamburo ni Tajiri na ni Mfanyabiashara! Chadema wanaseama mfanyabiashara wa Chadema ni mzalendo kuliko yule aliyepo CCM! Unafiki mtupu!
 
Watu wa chadema wanafiki sana! Eti wanalalamika viongozi wa ccm ni wafanyabiashara wanaochanganya na siasa! Mbona hawashangai mwenyekiti wao kufanya biashara? Slaa si amkemee basi kama yeye ni mzalendo,au anaogopa kufukuzwa atakosa mil7 kwa mwezi,duh bonge la dili! Mnapoinyoshea mkono ccm,jueni kwamba mnamtouch mwenyekiti wenu indirectly! Mvueni gambizo! Jamaa anamiliki danguro

swala sio kuwa mfanyabiashara ila je biashara zako za halali na sio za kuiba fedha za umma kama rostam na lowassa??george bush alikuwa mfanyabiashara mzuri wa mafuta lakini haikuwa biashara ya kifisadi
 
Waache kulia lia basi biashara itenganishwe na siasa! Waseme kuna biashara safi na haramu! Wanafiki
swala sio kuwa mfanyabiashara ila je biashara zako za halali na sio za kuiba fedha za umma kama rostam na lowassa??george bush alikuwa mfanyabiashara mzuri wa mafuta lakini haikuwa biashara ya kifisadi
 
Hata babu yangu alimchangia nauli nyerere alipoenda kwa malkia! Lakini hajitangazi kama wakala wa tigo,kimya kimya tu
unajua baba yake mbowe marehemu ndiye aliye mpa suti nyerere wakati akienda uk kwa malkia kuomba uhuru wa tanganyika?biashara freeman mbowe kaikuta ni ya baba yake!yeye ni mwanasiasa
 
Hata babu yangu alimchangia nauli nyerere alipoenda kwa malkia! Lakini hajitangazi kama wakala wa tigo,kimya kimya tu

watu mliojiunga jf kuanzia tarehe 11 mwezi wa 4 2011 (baada ya ccm kujivua gamba) wengi wenu mna mtindio wa ubongo
 
Watu wa chadema wanafiki sana! Eti wanalalamika viongozi wa ccm ni wafanyabiashara wanaochanganya na siasa! Mbona hawashangai mwenyekiti wao kufanya biashara? Slaa si amkemee basi kama yeye ni mzalendo,au anaogopa kufukuzwa atakosa mil7 kwa mwezi,duh bonge la dili! Mnapoinyoshea mkono ccm,jueni kwamba mnamtouch mwenyekiti wenu indirectly! Mvueni gambizo! Jamaa anamiliki danguro

Kuwa mwanasiasa haimaanishi uwe masikini, but ukutumia siasa kujitajirisha ndio kitu hasa tunachokipinga. Kama CDM ndio imemtajirisha Mbowe, basi ulikuwa na haki ya kuandika hayo uliyoyaandika, kama sivyo inabidi ukae chini na kufikiria juu ya uwezo wako wa kufikiri. But kwasababu fedha za uma zinawatajirisha JK, Lowasa, Rostam na wengine, then CDM wana kila sababu ya kuendelea kulikemea hilo.

NADHANI UNGEFIKIRI KWANZA KABLA YA KUANDIKA HUO UOZO WAKO MKUU!!!!!!
 
Ndio Mbowe mfanyabiashara mkubwa sana toka enz za mwalimu,vp ndo unajua leo nn?
 
Back
Top Bottom