Mbowe na siasa

Unajua mimi naona kujiita Chadema kumekua fashion sasa. Kuna watu huku wanajiita Chadema au mashabiki wa Chadema ila nina mashaka na kujitolea kwao kwa chama nje ya maisha ya mtandaoni.

Ukishakuwa kabila fulani fulani au dini fulani usipojiita CDM unapopolewa mawe, so watu wanalinda maisha yao
 
akili ndogo ya mbowe div 0. anaongoza akili kubwa.maprof na ma phd chamani.

Mkuu hilo lisikutie shaka kabisa.................................. manake hata Yesu Kristo alikuwa profesor wa maprofesor, japo hakukanyanga mlango wa darasa
 
Jazba zipi? Nilikuwepo mkutanoni...

Vipi tukikuchagua wewe? Au huchaguliki?

Mna matatizo nyie mnaomponda Mbowe.....tatizo lenu mmezoea siasa za matusi jukwaani, mtu asipotukana akiongea mambo yanayotakiwa kwa wananchi mnaanza kumponda, ndio maana hamuendelei. pambavu

Tunapoteza tu muda ila ukweli ni kwamba CDM chini ya MBOWE ni uchagga tu hakuna lolote, Bwana RITZ hivi hawa jamaa na sera yao ya UKANDA vipi? mbona tunakubaki kugawanywa kirahisi hivi?

Wacha ukawatara wako hapa. CCM ndiyo imeleta ubaguzi nchi hii, mnashindwa kuja na hoja za kujenga nchi mnaanza mambo ya ajabu. Kwa kusema hivyo CCM ni chama cha kiislamu au?
 
Mkuu hilo lisikutie shaka kabisa.................................. manake hata Yesu Kristo alikuwa profesor wa maprofesor, japo hakukanyanga mlango wa darasa
kufuru hizi unataka kufananisha Yesu na kuyu taller wa benki, hawa si ndo watoza ushuru ambao yesu aliwaona?
 
Ritz - si hitaji kuungwa mkono na watu wa aina yako....

fredie - sidhani kama ni sawa kutoa siku kadhaa hili na hili liwe limetendeka na kwa jazba namna ile. Kwa mfano CCM wakiwanyima kibali cha hayo maandamano si kuna hatari hapo, kwa nini asitumie political pressure (kusema mabayo ya CCM na serikali yake) bila kuhatarisha maisha ya watu

Sawa kaka hizo ni fikra zangu wala sijakuunga mkono.
 
Mkuu hilo lisikutie shaka kabisa.................................. manake hata Yesu Kristo alikuwa profesor wa maprofesor, japo hakukanyanga mlango wa darasa

Yesu na Mbowe tofuati wewe acha kulazimisha mambo.
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.

Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza CHADEMA kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.

Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh

sio mbaya, naona wewe ni mshabiki wa Arsenal mawazo mgando kama babu yenu Wenger, huwezi kushauri kitu kama umeshindwa kumshauri wenger namna ya kufanya abebe kombe hata la mbuzi, kakojoe ulale
 
Mnabuni mbinu nyingi kweli,tunaweza kuanza kufikiria sasa inawezekana hii ni evolution ya PM-7
 
Tunapoteza tu muda ila ukweli ni kwamba CDM chini ya MBOWE ni uchagga tu hakuna lolote, Bwana RITZ hivi hawa jamaa na sera yao ya UKANDA vipi? mbona tunakubaki kugawanywa kirahisi hivi?

Karibu JF njuka ndani ya Lumumba propoganda forum.
 
Back
Top Bottom