MBOWE: Kesho Muulize WM juu ya Mzanzabari kuwa Waziri Tanganyika

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Mhe Kiongozi wa Upinzani Bungeni, tafadhali kesho katika maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu muulize imekuwaje Mbunge toka Zanzibar (ingawa alishakuwa mbunge wa Mkuranga) ameteuliwa kuwa Waziri wa Tanganyika?

Je hatuna wabunge walistahili kuwa mawaziri upande wetu?

Tafadhali KUB pata ufafanuzi mzuri katika hili.

Bazazi ni Bazazi
 
Kama atakuwa hajarudi toka msibani hili swali ni zuri aulize kamanda lisu
 
la msingi ni imekuawaje Mzanzibar anakuwa waziri kwenye wizara inayohusu bara. Hilo ndilo swali la msingi. Ndio maana nasema Tanganyika tunajipendekeza kwa hawa wehu wa visiwani
 
mzanzibari hawezi kua waziri ktk tanganyika lakini anaweza kuwa waziri ktk serikali ya muungano, kwavile tanganyika imeshafutwa tokea 1964 ndio wazansibar wanaweza kuwa mawaziri bara kwa ticket ya muungano, kwa upande wa mbara kwa znz ni kinyume chake. ( hizo moja kati ya faida za muungano huu wa kipekee)
la msingi ni imekuawaje Mzanzibar anakuwa waziri kwenye wizara inayohusu bara. Hilo ndilo swali la msingi. Ndio maana nasema Tanganyika tunajipendekeza kwa hawa wehu wa visiwani
 
mhe kiongozi wa upinzani bungeni, tafadhali kesho katika maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu muulize imekuwaje mbunge toka zanzibar (ingawa alishakuwa mbunge wa mkuranga) ameteuliwa kuwa waziri wa tanganyika?

Je hatuna wabunge walistahili kuwa mawaziri upande wetu?

Tafadhali kub pata ufafanuzi mzuri katika hili.

Bazazi ni bazazi

humu jamii forum tunaonekana tumechoka; vimaswali vyetu havina msingi; hakuna waziri kama huyo ni kupoteza muda,
 
Wabunge wa papo kwa papo na mawaziri wa papo kwa papo. Na Majibu ya Mzee wa Machozi zamani Mtoto wa Mkulima atasema Huu ni uteuzi wa Rais Hana mamlaka nao au atamuuliza mwenyenchi why
 
swali hilo litakuwa poa,maana akina Hammy J wamezidi huku bara wakati kwao wanatutenga.
 
HAHAHA! HONGERA JK NILAZIMA SISI WAKRISTU TUKUCHUKIE,UMETEUA JAJI MKUU MUISLAMU KWA MARA YA KWANZA TOKEA UHURU HAWA WATU HAWAJASOMA NA 20% YA WATANZANIA WOTE HAWAFAI KUPEWA VYEO UMEMTOA KARDINALI PENGO ASIHUDHURIE VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI JAMANI JK NILAZIMA TUKUCHUKIE HAKIKA UNA OMBWE LA KIUONGOZI:der:
 
acha umavi wewe! Sisi hatushobokei viji vyeo visivyo na kichwa wala makalio,ndio maana tuna. Komaa kujenga shule na vyuo kila kona,nyie subirieni hivyo vya kukatiza.
 
@nnguu007, Kukaa kimya ni bora kuliko kuzungumza na kuonekana Mpumbafu mbumbumbu mzungu wa reli. Dr Hussein Ali Hassani Mwinyi ni Mtanganyika? Acha ujinga wako.

Ndimi Bazazi
Yeah, si Mtoto wa Ali Hassan Mwinyi? Baba yake alizaliwa Bara akahamia Zanzibar akiwa Mdogo; Yeye alizaliwa Bara, kasomea Bara - Primary School Oysterbay, Secondary Azania - Egypt Baba Balozi - Karudi - Tambaza - Muhimbili - Turkey... Hajawahi kukaa Zanzibar; ni huo Uwakilishi tuu

Sasa, Mjinga Ni Nani? :)
 
nngu007! Kwa hiyo mwanao aliye katika shule za Kenya/Uganda/UK/USA/nk toka chekechea hadi chuo kikuu ni raia wa nchi hizo? Kama babaye hakuwa raia wa Zanzibar ilikuwaje akawa raisi wake? Ilikuwaje akaamua kuitosa Mkuranga na kwenda kumrithi Balozi Ahmed Diria pale Kwahani?

Kaka haupo sahihi na nasikitika umenifanya nikamtukana mtu mtandaoni. Tele kwa tele, hauko sahihi. Rudia kufikiria upya na labda utauona mwanga.

Am sorry for insulting you.

Ndimi Bazazi!
 
Ndugu soma kwenye maamndishi ya rangi nyekundu kisha unijibu maswali yangu 2.
1. Kwa kuwa mawaziri wote kikatiba wanabidi kuwa Wabunge, na Ndugu Hussein Ali Mwinyi ni Mbunge wa Kwahani Zanzibar, je huoni YEYE kwenye Baraza la Mawaziri anashika Wizara ambayo SI YA MUUNGANO? (Alipokuwa Ulinzi, ilikuwa shwari).
2. Je, KAMA siyo Mzanzibari (kama unavyotaka tuamini), Je, Katiba ya Zanziabar inaruhusu mtu YEYOTE toka Tanzania Bara kuwa Mbunge huko?
Wasalaam!
 
Unaona Tatizo la Mtanzania, anataka kuongelea anayoyataka kusikia, nimekuambia pia Amezaliwa Dar-es-salaam

Wapo Wengi sana Lau Masha aliondoka akiwa na Miaka 2 aligombea Ubunge wa Mwanza Mjini kama Baba yako yuko huko utafuata aliko ndio Mtoto wa Mwinyi alivyofanya.
 
Ndugu soma kwenye maamndishi ya rangi nyekundu kisha unijibu maswali yangu 2.
1. Kwa kuwa mawaziri wote kikatiba wanabidi kuwa Wabunge, na Ndugu Hussein Ali Mwinyi ni Mbunge wa Kwahani Zanzibar, je huoni YEYE kwenye Baraza la Mawaziri anashika Wizara ambayo SI YA MUUNGANO? (Alipokuwa Ulinzi, ilikuwa shwari).
2. Je, KAMA siyo Mzanzibari (kama unavyotaka tuamini), Je, Katiba ya Zanziabar inaruhusu mtu YEYOTE toka Tanzania Bara kuwa Mbunge huko?
Wasalaam!

Unajua kabla ya Uwaziri wa Ulinzi alikuwa naibu waziri wa afya?

Sikusikia Makelele toka kwako
 
Back
Top Bottom