Mbowe katuudhi, bora turudi CCM

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Yamesemwa Jana na Vijana 12 waliokuwa wa CHADEMA Wilaya ya Moshi wakati wakivua Magamba yao kumdhibitia Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Taifa, Shaka Hamidu Kuwa wao si majipu wanaomba wanaCCM wawapokee.

"...tulisikia akisema Rais anatekeleza Sera zetu,kweli rais anapambana na ufisadi na kuwasaidia watanzania,wanatoka bungeni kumpinga? Huu ni unafiki kama Mbowe angekuwa na busara angeenda kumuona rais ampe maoni yake si kumtega Rais ,angejataliwa ndio angeuambia umma tujue,tumechoka siasa za ovyo tunarudi CCM kumuunga Mkono Magufuli.."
aa6b67b1a2d4e23a5a57f6c43bbb87ff.jpg
32ad1cf058dd26663f9fedb9715a1b5c.jpg
d93a11e33dfd1b1ce43eb59212c04e33.jpg
886e70a406248f2b9f76a4b5ffb03f43.jpg
 
Haya Tumekusikia!! Ila kumbuka kuwa CHADEMA ndiyo inaongoza Moshi kuanzia Halmashauri na Mbunge pia ni wa CHADEMA. CCM uwezo wao wa kuelewa ni mdogo sana na bahati mbaya wafuasi wao nao wamenasa kwenye mtego huo huo, wao wanadhani kupambana na Mbowe ndiyo kupambana na CHADEMA.

Siku nyingine msitumie hao watu wanaoipenda na kupendwa Mombasa kupambana na watu kama Mbowe!!
 
f133234292398678d40b8f3b5e53e9ee.jpg
kazi ya mwaka Jana hiyo cheki makadi ya kijani yalivyojaa huyo ni mfuasi wa cuf akionyesha kadi za ccm walizoacha wanaccm hapo ni kwa mheshimiwa Fulani jina kapuni
 
Back
Top Bottom