Mbowe katuudhi, bora turudi CCM

vijana wa ufipani....bangi zitawaumiza!

siwezi kuwaita vijana walumumba majuha kwa kuwa sifikirii wote ni vichaa kama ww ila upo peke yako unaechafua sifa ya vijana wa ccm ujipime kama wafaa kuwa humo wataalamu wanasema ktk msafara wa mamba hata kenge wamo waweza kuwa kenge mmoja unaechafua wenzio kumbuka kila anaepinga ccm sio chadema hii nchi sio ya vyama viwili ndo mana nkakwambia ujipime kama wafaa kuwa huko ufikirio wako na mawazo hata kuku ubongo wake unakuzidi kwa uwezo wa kufikiri na maamuzi.

na kama upo kitengo cha propaganda chafu bas wala pesa zao za bure.
 
hivi dogo kwa malipo ya karanga tu leo umeamrishwa unifatilie? ...nina uhakika unatumia ID ya chadema.
 
Yamesemwa Jana na Vijana 12 waliokuwa wa Chadema Wilaya ya Moshi wakati wakivua Magamba yao kumthibitia Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Kuwa wao si majipu wanaomba wanaCCM wawapokee
"...tulisikia akisema Rais anatekeleza Sera zetu,kweli rais anapambana na ufisadi na kuwasaidia watanzania,wanatoka bungeni kumpinga? Huu ni unafiki kama Mbowe angekuwa na busara angeenda kumuona rais ampe maoni yake si kumtega Rais ,angejataliwa ndio angeuambia umma tujue,tumechoka siasa za ovyo tunarudi CCM kumuunga Mkono Magufuli.."
aa6b67b1a2d4e23a5a57f6c43bbb87ff.jpg
32ad1cf058dd26663f9fedb9715a1b5c.jpg
d93a11e33dfd1b1ce43eb59212c04e33.jpg
886e70a406248f2b9f76a4b5ffb03f43.jpg
haya magizo ya masabuli bado yapo nildhali yalisha kipindi cha uchaguzi wanarudi kwa lipi?
 
...eti Mbowe kawauzi,kesho atawaletea na sindano kabisa, mkashone, muache umbeya uku!
 
...yaani Moshi iliyotapakaa Chadema kila mahali,mmeokoteza hapo vijana 12 tu!, halafu mnakuja mbio kuanzisha uzi huku?!
 
hivi dogo kwa malipo ya karanga tu leo umeamrishwa unifatilie? ...nina uhakika unatumia ID ya chadema.

nshakupoteza kabisa unachokiongea unakijua mwenyewe hapo ndo uwezo wako ulipoishia kwa kumalizia mimi sio levo zako hilo lishajidhihirisha natakiwa kupambana na kina kinana wewe bado mchanga sana ndo mana nkasema waliokuajiri ktk kitengo unachokitumikia unapata malipo yasiyo stahiki yako huna tofaut na mtumishi hewa.
 
Mtumishi hewa namba moja ni Salum Mwalum,hakai unguja kueneza chama....yeye yupo ufipa mnavuta naye bangi...
 
Ila mbunge wa Moshi mjini nilimsikia akimuunga mkono Magufuli kwa hatua anazozichukua. Nafikiri yeye alitoka tu bungeni maana hakuwa na jinsi.
 
Mtoa mada unafikiri kwa kutumia akili au kinyesi kwa hali iyo unaonekana hata ccm wakikulagai hutoe tigo unatoa na inawezekana ushawai kutoa kwasababu mwanaume wa kweli anamisimamo na sio kuyumba yumba hata mbowe haende ccm sisi tushaamua upinzani mpaka kufa na tumekubali kufa kiume ila kizazi kijacho kisije kutulaumu kumuacha mkoloni mweusi wa Zanzibar na bara tungali na akili timamu kama umeona kuna ulazma wa kuenda ccm nenda ila sisi upinzani ni kama dini hatuwezi kuama sababu tutakosa kwenda peponi kwa kuwatumikia mafisadi wanaoigiza kutumbuana na wananchi tumeshaelewa hatudanganyiki hakuna cha majipu ni bongo muvi
 
Mtumishi hewa namba moja ni Salum Mwalum,hakai unguja kueneza chama....yeye yupo ufipa mnavuta naye bangi...

kila kitu kishajidhihirisha juu ya ubongo wako .....na uwezo wako huna hoja ni matusi tu ndo mana nkasema waliokupa kazi wamechemka huwezi kukitetea chama.
 
Afu chadema wanataka tbc ionyeshe bunge live afu wao wanatoka bungeni.hehehe
 
Back
Top Bottom