Mbowe atatikisa na kukinukisha Musoma kwa siku tatu kuanzia leo..!!

Kama una ushahidi si upeleke sehemu husika? Una angaika nini?
Nakumbuka hata wakti wa kifo cha CHACHA WANGWE alikuwa anarukaruka South Africa na nasikia alifanya sherehe kwa kusikia kuwa taarifa ya msiba huo. Katika tukio hili la KIBANDA nasikia aliga kuwa hatakua Dar bali atakuwa HAI kuhudhuria mkutano wa baraza la Halmashauri , lakini akaonekana MOI akimpa pole bwana KIBANDA. Huyu jamaa mtata sana kama jini vile.
 
Naona umeshindwa kufikiri vyema! Kama ni hivyo kwa nini jimbo mlitupa?
Huna sababu za msingi ya unacho kiongea pengine hayo ni mawazo ya kikundi cha watu watatu!

Mumlinde sana huyu mmafia wenu, huku Mara bado damu ya CHACHA WANGWE inalia naye.
 
na huku kwetu kijijini atafika au chama chake ni cha mijini tu?
 
Jumatatu kuanzia saa nane mchana, Mh. Mbowe, Mh. Nyerere, Mh. Nassari, Mh. Lema na wengine wengi wataongea.."sisi hatutaongea na watoto kama walivyofanya CCM, tutaongea na watu wazima kuwaeleza mustakabali wa Taifa letu"Ewe mkazi wa Musoma na maeneo ya jirani, usikose kuhudhuria...HARAKATI ZINAENDELEA.. mia

Asije akaja na mifujo yao ya Arusha
 
Mpaka kieleweke hakuna kushangaa shangaa!
 
na huku kwetu kijijini atafika au chama chake ni cha mijini tu?

nukuu"makamanda nchi hii ni kubwa sana,viongozi wa cdm ni wachache ukilinganisha na ukubwa wa nchi hii. Tunawaomba makamanda mkawe chachu ya mabadiliko popote pale,unganeni watu kumi na mfungue shina,mkifanya hvyo mashina kumi basi mnamtafuta kiongozi anafungua tawi lenu" mbowe arusha. So kamanda bila kulalamika wewe umetimiza wajibu wako?
 
Asije akaja na mifujo yao ya Arusha

Nukuu"haki haiombwi,haki inatafutwa" lema arusha. Kijana tambua watu wa arusha wanapoandamana si kwa kuwa hawapendi amani,si kwa kuwa wamekata tamaa bali wanapigania HAKI, kama watanzania wote tungefunguka akili kama watu wa arusha basi madini yetu,misitu yetu,milima yetu,mbuga zetu,maji yetu,gesi yetu ingetunufaisha watanzania kwanza,lakini sababu ya ujinga unuohubiri bado elimu,maji,chakula,barabara,ajira,haki,demokrasia vitaendelea kuwa ndoto kwenye taifa la miaka 52 ya uhuru,change your mind bro!
 
Nakumbuka hata wakti wa kifo cha CHACHA WANGWE alikuwa anarukaruka South Africa na nasikia alifanya sherehe kwa kusikia kuwa taarifa ya msiba huo. Katika tukio hili la KIBANDA nasikia aliga kuwa hatakua Dar bali atakuwa HAI kuhudhuria mkutano wa baraza la Halmashauri , lakini akaonekana MOI akimpa pole bwana KIBANDA. Huyu jamaa mtata sana kama jini vile.

Hizi sio propaganda, ni UCHOCHEZI. Au unataka kutuaminisha nini? Utakuwa mmoja wao. Shukuru Mungu, Polisi wetu hawaijui kazi yao; vinginevyo.......!
 
Kwa taarifa rasmi niliyoipata kutoka kwa Mbunge wa Musoma mjini Mh. Vincent Nyerere, inasema kuwa Mh. Mbowe na wabunge wengine walioambatana nae watawasili leo hii.Mh. Mbowe ataitembelea Tarime, miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwa na CHADEMA,kufungua ofisi za Chama kwenye kata mbalimbali..Jumapili,asubuhi ataongea na madiwani wa Musoma na jioni atazungumza na wadau mbalimbali wa chama hapa Musoma..Jumatatu ndo, mkutano wenyewe utafanyika katikaViwanja vya Mukendo. mia

Asituletee vurugu zao za Arusha
 
Nukuu"haki haiombwi,haki inatafutwa" lema arusha. Kijana tambua watu wa arusha wanapoandamana si kwa kuwa hawapendi amani,si kwa kuwa wamekata tamaa bali wanapigania HAKI, kama watanzania wote tungefunguka akili kama watu wa arusha basi madini yetu,misitu yetu,milima yetu,mbuga zetu,maji yetu,gesi yetu ingetunufaisha watanzania kwanza,lakini sababu ya ujinga unuohubiri bado elimu,maji,chakula,barabara,ajira,haki,demokrasia vitaendelea kuwa ndoto kwenye taifa la miaka 52 ya uhuru,change your mind bro!
Kahubiri hayo huko Arusha mlikozoea kufanya fujo Na si Mara
 
Kwa taarifa rasmi niliyoipata kutoka kwa Mbunge wa Musoma mjini Mh. Vincent Nyerere, inasema kuwa Mh. Mbowe na wabunge wengine walioambatana nae watawasili leo hii.Mh. Mbowe ataitembelea Tarime, miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwa na CHADEMA,kufungua ofisi za Chama kwenye kata mbalimbali..Jumapili,asubuhi ataongea na madiwani wa Musoma na jioni atazungumza na wadau mbalimbali wa chama hapa Musoma..Jumatatu ndo, mkutano wenyewe utafanyika katikaViwanja vya Mukendo. mia

Mhm itakuwa finiko aiseeeeeeeee
 
Back
Top Bottom