Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

Zitto alionekana Mbaya,Msaliti baada tu ya kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa chama,hadi CEO wa CHADEMA mzee Mtei na wenzake wakamwambia Zitto atoe jina lake,mengine haya ni mbwembwe tu,tatizo UENYEKITI
Semeni tu kazi mliyomtuma Zitto kufanya imemshinda. Sasa hafai tena! Ametupwa kama kondomu iliyotumika!
 
Kukubali kwako au kutokubali hakutakuwa na athari yoyote. Zitto ni mwanasiasa mahiri, anao wafuasi wengi walio tayari kuondoka naye kwenda chama atakachochagua, tunavyo vyama zaidi ya 20, tatizo liko wapi? Si aende na hao wafuasi wake akaimarishe kimojawapo kati ya vyama vilivyopo?

Hii Ni kufuru
Understand that a party is made of all types of people!!!
 
fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama

una liaibisha jina la sokoine!
 
fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama

Hizo hoja
Alizo to a zilizaa matunda gani . fikili Kwa mapana wewe
 
Khe Khe kheeeeeeee nasikia wewe unayo macho manne lakini bado ukipofu!!

Laiti TISS wangeweka list yote ya watu walio katika payroll yao, watu humu wangeshindwa kutazamana!. Thanks God Tuliojaliwa jicho la Tatu, "third eye", tunawaona machoni hadi miyoni mwao!, wakati wengine ni wapinzani kweli!, kuna wenzao ni wapiga dili tuu na wafanya biashara ya siasa!.

Pasco
 
Pasco Mbowe nae analipwa na TISS?
 
Last edited by a moderator:
fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama

umewahi kusikia kitu inaitwa "screensaver"?

cunning politicians like Zitto au wale viongozi wengi wa CCM huwa hizo wanazitumia sana tu.

je, ina maana hujawahi kwa mfano kumsikia Lowassa akikemea ufisadi? yes, you heard me right...Lowassa kukemea ufisadi!!
 
Chuki ni chuki,na mkisha baguana hiyo ni laana mtaendelea zaidi. huu ni upepo unapita na yatakuja mengine ila ngum mwaka huu kuelewa nchi inaelekea wapi kwa mikasa ya kisiasa yenye sintofaham.
 
Naona mheshimiwa Kabwe chat yake inazidi kupanda,huyu mtu chama tayri kimeisha amua aenguliwe na pia mahakama imemkatalia madai yake so kifupi tayari kashindwa na officialy sio mwana cdm tena,mimi navyoona kuzidi kumtaja taja hakumpunguzii kitu na sana sana kunamuongezea,naona hata chama chake ndio kinazidi kupaa watu wanajiunga kila siku,mimi ka mfuasi wa cdm nafikiri ni bora angeliachwa ajenge chama chake mwenyewe kwa nguvu zake mwenyewe kuliko kumfuata fuata kila siku ,kufanya hivyo tutakuwa tunamsaidia kulitangaza jina lake na kumfanya kuwa hero wa wengi. Mr Murage:canada:
 
Laiti TISS wangeweka list yote ya watu walio katika payroll yao, watu humu wangeshindwa kutazamana!. Thanks God Tuliojaliwa jicho la Tatu, "third eye", tunawaona machoni hadi miyoni mwao!, wakati wengine ni wapinzani kweli!, kuna wenzao ni wapiga dili tuu na wafanya biashara ya siasa!.

Pasco

mkuu Pasco,heshima kwako. hilo jambo uliloongea ndilo litakalotugharimu watanzania kuchelewa kupata ukombozi wa pili na wa kweli,mpaka pale watanzania watakapoamka na kujua ukweli uliofichwa nyuma ya pazia,itakuwa miongo miwili ijayo,kwa "trend" hii tunayoenda nayo.
 
Back
Top Bottom