Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,325
- 6,367
Habari JF, life it's too short guys.
Nimesikia Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza.
Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Then anasema naomba nimtambulishe rafiki yangu Doctor Slaa, karibu sana.
Doctor Slaa anakwenda mbele wanapeana mikono Mbowe anawaambia wanachama wasimuilize Doctor Slaa yuko wapi.
(Msiniulize doctor Slaa yupo wapi, simnamuona hapa chadema?.
Halafu anamtambulisha na Mwabukusi wanasimama pamoja wote na Doctor slaa then Mwenyekiti anawaambia karibuni sana tufanye kazi.
Mbowe yupo vizuri upstair, he knows how to play the game, so far Doctor Slaa na Mwabukusi watakisaidia chama kuonyesha dira na malengo.
Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.