Mbowe acha siasa nyepesi

Apr 6, 2015
91
24
Kupitia kipindi cha HOTMIX HABARI EATV leo, mh. Mbowe amenukuliwa akisema kuwa " Juzi Kikwete ameenda Marekani na amerudi kwenye sherehe za Mei Mosi. Jana tunaambiwa tena kuwa ameenda Marekani, hivi huko Marekani kuna nini?

My take: Hivi ni kweli Mbowe hajui Kikwete kaenda Marekani kufanya nini au ni aina ya SIASA NYEPESI?
 
Kwani wewe ndio Silva Rweyamamu? Mbona watu mnakimbelembele kama kuku wa kienyeji?
 
kupitia kipindi cha HOTMIX HABARI EATV leo mr Mbowe amenukuliwa akisema kuwa "........juzi kikwete ameenda marekani na amerudi kwenye sherehe za may day, jana tunaambiwa tena kuwa ameenda marekani, hivi huko marekani kuna nini?..."

my take..
hivi ni kweli Mbowe hajui Kikwete kaenda marekani kufanya nini? au ni aina ya SIASA NYEPESI?

Na wewe acha kuandika habari nyepesi!!
 
Mbowe yupo sahihi...

Records zinaonyesha rais anapoteza zaidi ya 30% akiwa nje ya ofisi... Na in the past two years ameenda zaidi ya mara tano, kuna nini USA??? Kuna safari hadi anapokelewa na watu wa level ya chini kabisa...

Safari zake ni expensive, na mafanikio ya safari zake (ukiondoa tiba ya tezi dume) hayajulikani... Picha tunazoona, mikutano anayofanya na majumuisho ya safari zake hayaonyeshi kutusaidia let alone entourage anayosafiri nayo ilivyo kubwa na yenye matumizi

je, JK ameenda mara ngapi mtwara na lindi kwenye gesi katika miaka miwili iliyopita?? mara ngapi kaenda Tanga mkoa unaombeba sana?? lini kenda kagera, Simiyu, Shinyanga na mikoa mingine yenye kuzalisha?? tulmemuona mara ngapi akiwa rukwa?? ukiondoa sherehe na misiba, ni mara ngapi kaenda ruvuma??

INASIKITISHA SANA KUONA MTU ANADAI SAFARI ZA MARA KWA MARA ZA RAIS KWENDA NCHI NYINGINE KUWA NI SIASA NYEPESI
 
Rais aende popote anapotaka. Ndio, ni haki yake kama Kiongozi mkubwa wa nchi. Na sisi Watanzania tuna haki pia ya kujua huko alikoenda alikwenda kwa minajili gani, ili tujue tumepata kitu gani huko. Sisi ndio tuliomuweka madarakani, sisi ndio atuwakilishao aendapo huko, na sisi ni lazima tujue kuwa ametuwakilisha kwa suala gani haswa. Mbowe alikuwa sahihi! Na mimi na wewe pia tunapaswa kuuliza swali hilohilo, na tusimtegee Mbowe peke yake.
 
Mbowe yupo sahihi...

Records zinaonyesha rais anapoteza zaidi ya 30% akiwa nje ya ofisi... Na in the past two years ameenda zaidi ya mara tano, kuna nini USA??? Kuna safari hadi anapokelewa na watu wa level ya chini kabisa...

Safari zake ni expensive, na mafanikio ya safari zake (ukiondoa tiba ya tezi dume) hayajulikani... Picha tunazoona, mikutano anayofanya na majumuisho ya safari zake hayaonyeshi kutusaidia let alone entourage anayosafiri nayo ilivyo kubwa na yenye matumizi

je, JK ameenda mara ngapi mtwara na lindi kwenye gesi katika miaka miwili iliyopita?? mara ngapi kaenda Tanga mkoa unaombeba sana?? lini kenda kagera, Simiyu, Shinyanga na mikoa mingine yenye kuzalisha?? tulmemuona mara ngapi akiwa rukwa?? ukiondoa sherehe na misiba, ni mara ngapi kaenda ruvuma??

INASIKITISHA SANA KUONA MTU ANADAI SAFARI ZA MARA KWA MARA ZA RAIS KWENDA NCHI NYINGINE KUWA NI SIASA NYEPESI

Nyuzi Ya TEZI DUME Imetatuka Hivyo Ameenda Kuirudishia.
 
Bora Kikwete anaenda kwenye ziara za kikazi, Mbowe yeye anaendaga DUBAI na Joyce Mukya kufanyaje?
 
Kupitia kipindi cha HOTMIX HABARI EATV leo, mh. Mbowe amenukuliwa akisema kuwa " Juzi Kikwete ameenda Marekani na amerudi kwenye sherehe za Mei Mosi. Jana tunaambiwa tena kuwa ameenda Marekani, hivi huko Marekani kuna nini?

My take: Hivi ni kweli Mbowe hajui Kikwete kaenda Marekani kufanya nini au ni aina ya SIASA NYEPESI?
Mbowe kwa nini hilo swali asingemuuliza Dr.Slaa, juzi naye alikuwa Marekani.
 
Kupitia kipindi cha HOTMIX HABARI EATV leo, mh. Mbowe amenukuliwa akisema kuwa " Juzi Kikwete ameenda Marekani na amerudi kwenye sherehe za Mei Mosi. Jana tunaambiwa tena kuwa ameenda Marekani, hivi huko Marekani kuna nini?

My take: Hivi ni kweli Mbowe hajui Kikwete kaenda Marekani kufanya nini au ni aina ya SIASA NYEPESI?

Mahaba yasikufanye uwe mtumwa kwa hiyo wewe unaona ni sawa kwa rais kukatiza ziara aje atie hotuba ya mei mosi kitu ambacho hata makamu wa rais angeweza kufanya. Kisha baada ya hotuba ya kawaida arudi tena USA .

Semeni wazi alijua mgomo unakuja na kwa kuwa utaratibu ni kukimbia matatizo ikabidi asepe, pinda nae akaona safari hii na Mimi sizubali huyo kanda ya ziwa . jumba bovu kaachiwa Sitta naye kaliingia na hangover za binge la katiba Mara chaliii
 
Kupitia kipindi cha HOTMIX HABARI EATV leo, mh. Mbowe amenukuliwa akisema kuwa " Juzi Kikwete ameenda Marekani na amerudi kwenye sherehe za Mei Mosi. Jana tunaambiwa tena kuwa ameenda Marekani, hivi huko Marekani kuna nini?

My take: Hivi ni kweli Mbowe hajui Kikwete kaenda Marekani kufanya nini au ni aina ya SIASA NYEPESI?

Na siasa nzito ndo zikoje?
 
Back
Top Bottom