Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
Daah! dada huyu sasa hivyi atakuwa na kipindi EATV........ keshazichanga za kutosha............
Mboni samwel etoo masimba Liyumba
labda chif kiumbe kamuwezesha! demu alizipata za kutosha kutoka kwa chif!Daah! dada huyu sasa hivyi atakuwa na kipindi EATV........ keshazichanga za kutosha............
Kwa hiyo huyu demu kila STAR yeye ana mvagaa tuu
nasema hiviiiii....ukijaribu kutoa mguu nje...napiga nyumba kibiriti sasa hivi....kama ni mbaya acha iwe mbaya
Halafu mimi sielewi Samuel etoo' kaingiaje hapo huyu si Ali Kiba huyu au?
Mkuu watu wanafunguka nusu nusu kama wote tunajua historia ya huyo binti Mboni.
View attachment 54814
Halafu lingine sijajua kama ni mtego kwa Ally Kiba au Kiba kaamua kuutangazia umma kuwa ndiye mmiliki halali wa mgodi huo?
mi hapo nimemuona tu Venture.....
Usikose kuangalia show yake ya kwanza EAT tarehe 31-05 saa tatu kamili :israel:
nasema hiviiiii....ukijaribu kutoa mguu nje...napiga nyumba kibiriti sasa hivi....kama ni mbaya acha iwe mbaya
Huyo Mbuni ndo mbuge wa jimbo gani,na kwa chama gan???