Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,229
Mmarekani:Sisi ndo wa kwanza kwend mwezini.
Mrusi: sisi tulikuwa wa kwanza kwenda space.
mbongo:sisi tunajipanga kwenda kwenye jua;
Mrusi;lol,we mbongo noma.
Mmarekani:we mbogo hamtaweza jua linaunguza.
Mbongo:nye kweli vilaza.tutaenda usiku jua likizama