Mbongo ajigeuza na kuwa Mzungu......

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
  1. Jamani kwa nini Wabongo wanachukia maumbile walopewa na Mungu??
  2. Huyu Mbongo sasa hivi ana blonde hair za kizungu kabisa....
  3. Rangi ya mwili wake imegeuka kuwa ya kizungu.....
  4. Chuchu zake zimechomoza kizungu ziko juu juu...
  5. Kope zake za kizungu, pussycat type....
  6. ................................(endeleza list)
mzungu.jpg
 
wanaojibadilisha ni malimbukeni hawajui maana.na wababa huwafuata wakati wanajua wana artificial nywele,kope,ngozi,kucha,miguu, makalio.kazi kwenu!
 
sioni uzungu wowote hapo zaidi ya kujikandika artificial flavors whoch made him/her look like any other wannabes or pretenders, my friend calls those people PowerPoint Presentation.... colorful!

Just FYI... siku hizi kuna hadi mavuz! ya kubandika kwahiyo hata kipilipili hukioni, kope, nywele, fake boobs, fake skin color, fake lips, fake hair, fake nails, sucked abs, enhanced ties...you name it

it is when unakuja kupata nae mtoto halafu bibi anakwambia mtoto kafanana na mamake kila kitu unatoa macho kwa mshangao,

POWER OF MARKETTING
 
tehe tehe......kuna hadi mavuzi ya kubandika ya kizungu!!.......umenipa kali mku
 
Hivi huyu demu anaitwa nani?? nishawahi kumuona viwanja zamani anavizia wazungu.........yaaani amebadilika na kuwa mzungu pepe peeee
 
Angepunguza na mdomo huo.....utadhani mamba anataka kummeza ng'ombe!!!
 
huyu ni mange kimambi. wanawake wakiwezeshwa wanaweza kufanya chochote hadi kujibadilisha.
 
  1. Jamani kwa nini Wabongo wanachukia maumbile walopewa na Mungu??
  2. Huyu Mbongo sasa hivi ana blonde hair za kizungu kabisa....
  3. Rangi ya mwili wake imegeuka kuwa ya kizungu.....
  4. Chuchu zake zimechomoza kizungu ziko juu juu...
  5. Kope zake za kizungu, pussycat type....
  6. ................................(endeleza list)
View attachment 48540

Mie sioni mzungu hapo , namwona Mwafrika pyua.
Thick lips
Broad mouth
Flattened nose
Ila mpe sifa zake
 
Back
Top Bottom