Mbongo ajigeuza na kuwa Mzungu......

Kama ni Kweli kafanya hivyo, Ni lazima ubongo wake hauko sawa

Na Tuombe sana Mungu aturehemu na LAANA Ya aina Hii
 
  1. Jamani kwa nini Wabongo wanachukia maumbile walopewa na Mungu??
  2. Huyu Mbongo sasa hivi ana blonde hair za kizungu kabisa....
  3. Rangi ya mwili wake imegeuka kuwa ya kizungu.....
  4. Chuchu zake zimechomoza kizungu ziko juu juu...
  5. Kope zake za kizungu, pussycat type....
  6. ................................(endeleza list)
View attachment 48540
hapa ni george and dragon?
 
Anapendeza zaidi kwa mbali.. Ukim "zoom" mmmh.. ila Mashallah kajua kuviweka na vikakaa..
 
  1. Jamani kwa nini Wabongo wanachukia maumbile walopewa na Mungu??
  2. Huyu Mbongo sasa hivi ana blonde hair za kizungu kabisa....
  3. Rangi ya mwili wake imegeuka kuwa ya kizungu.....
  4. Chuchu zake zimechomoza kizungu ziko juu juu...
  5. Kope zake za kizungu, pussycat type....
  6. ................................(endeleza list)
View attachment 48540

Mkuu anapatikana wapi huyu aiseee.
 
Back
Top Bottom