Mbolea ya kinyesi cha kuku inauzwa

C.K

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
394
162
Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi plus ya kilo hamsini hamsini...Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya Changanyikeni/Ubungo. KARIBUNI..!!
 
Back
Top Bottom