Mbinu za James Millya kumchafua Mh. Sendeka zagonga Mwamba

Olemandalo

Senior Member
Dec 7, 2012
117
12
kikundi cha wahuni wachache wakiongozwa na aliyewahi kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Simanjiro akaangukia pua James Millya walikutana Kibo palace Hotel, nakupanga mbinu mbali mbali za kuchafua mbunge machachari wa Simanjiro Mh Olesendeka, mpango huo ulifadhiliwa na Mkurugenzi wa IOPA Martin Sanago, moja ya mbinu zilizo pangwa na wahuni hao ni kwenda kwa wapiga kura wa Mh Sendeka kuwahadaa wananchi kuwa mh Sendeka ndio fisadi wa Ardhi, Mkatiti huu uliasisiwa na Martini kwa lengo la kuficha ukweli la jinsi alivyotumia shirika lake hilo kuhujumu miundo mbinu za simanjiro na kujichukulia Ardhi, jambo la kumshukuru mungu wanasimanjiro wameshasanuka kuwa hao wanajiita wasomi wa Simanjiro ni wahuni watupu. Na wameshapuunzwa.
 
Mods naomba muondoe uchafu huu huyu mtu kila siku yeye ni kuzusha mambo yasiyo na kichwa wa miguu
 
kikundi cha wahuni wachache wakiongozwa na aliyewahi kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Simanjiro akaangukia pua James Millya walikutana Kibo palace Hotel, nakupanga mbinu mbali mbali za kuchafua mbunge machachari wa Simanjiro Mh Olesendeka, mpango huo ulifadhiliwa na Mkurugenzi wa IOPA Martin Sanago, moja ya mbinu zilizo pangwa na wahuni hao ni kwenda kwa wapiga kura wa Mh Sendeka kuwahadaa wananchi kuwa mh Sendeka ndio fisadi wa Ardhi, Mkatiti huu uliasisiwa na Martini kwa lengo la kuficha ukweli la jinsi alivyotumia shirika lake hilo kuhujumu miundo mbinu za simanjiro na kujichukulia Ardhi, jambo la kumshukuru mungu wanasimanjiro wameshasanuka kuwa hao wanajiita wasomi wa Simanjiro ni wahuni watupu. Na wameshapuunzwa.

wewe nani amchafue sendeka,,,,,yeye sendeka ndio anajichafua mwenyewe,na chama chake,
 
Tangu Sendeka alipoiba mchanganuo kule Tanzanite one ....nilimpuuza sana .......sasa hujui kuwa ni mchafu wa kutupwa wewe au .....
 
kikundi cha wahuni wachache wakiongozwa na aliyewahi kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Simanjiro akaangukia pua James Millya walikutana Kibo palace Hotel, nakupanga mbinu mbali mbali za kuchafua mbunge machachari wa Simanjiro Mh Olesendeka, mpango huo ulifadhiliwa na Mkurugenzi wa IOPA Martin Sanago, moja ya mbinu zilizo pangwa na wahuni hao ni kwenda kwa wapiga kura wa Mh Sendeka kuwahadaa wananchi kuwa mh Sendeka ndio fisadi wa Ardhi, Mkatiti huu uliasisiwa na Martini kwa lengo la kuficha ukweli la jinsi alivyotumia shirika lake hilo kuhujumu miundo mbinu za simanjiro na kujichukulia Ardhi, jambo la kumshukuru mungu wanasimanjiro wameshasanuka kuwa hao wanajiita wasomi wa Simanjiro ni wahuni watupu. Na wameshapuunzwa.

Olemanda unafanya makosa Makubwa sana kumuhusisha mzee waheshima kwenye mambo yako yakijinga na yakipuuzi kama hii, we utakuwa una wazazi kwenu wewe!
 
Wana Simanjiro walipeleka shule watoto wahuni? kama watoto ni wahuni je baba, mama, shangazi, wajomba, majirani zao siyo wahuni...Mtoto wa nyoka nae ni....... kama Ole Milya ni mhuni bila shaka wana simanjiro nao ni wahuni sasa chaajabu wana wapuuza wahuni wenzao...
 
kikundi cha wahuni wachache wakiongozwa na aliyewahi kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Simanjiro akaangukia pua James Millya walikutana Kibo palace Hotel, nakupanga mbinu mbali mbali za kuchafua mbunge machachari wa Simanjiro Mh Olesendeka, mpango huo ulifadhiliwa na Mkurugenzi wa IOPA Martin Sanago, moja ya mbinu zilizo pangwa na wahuni hao ni kwenda kwa wapiga kura wa Mh Sendeka kuwahadaa wananchi kuwa mh Sendeka ndio fisadi wa Ardhi, Mkatiti huu uliasisiwa na Martini kwa lengo la kuficha ukweli la jinsi alivyotumia shirika lake hilo kuhujumu miundo mbinu za simanjiro na kujichukulia Ardhi, jambo la kumshukuru mungu wanasimanjiro wameshasanuka kuwa hao wanajiita wasomi wa Simanjiro ni wahuni watupu. Na wameshapuunzwa.

Wanaume kama mabinti!
 
Hivi Sendeka tumbo lake lina nini? Haoni aibu?

Linabeba Mavi na Monyoo! Yote ni shauri ya Ulafi,huyu bwana anakula hakuna mfano. Siku moja nilimkuta pale Seven Up akila nyama huwezi amini alikula zaidi ya kilo 3 mwenyewe.

Sasa wewe unaetuletea Story za hilo TIKITI MAJI Sendeka huoni unatuboa?!? 2015 ndio mwisho wake kwenda Bungeni halafu tuone hilo tumbo atajaza upepo au?
 
Pumba tupu.
Sendeka ni mchafu toka siku nyingi sana, sasa inakuwaje leo uje hapa JF na kudai kuna watu wanapanga kumchafua?
 
Hili la uchafu wa Sendeka wala halina ubishi. Lakini mwenzake Millya alipohamia tu CDM ametakasika? Tusipokuwa makini tutajikuta kesho tunamshangilia Chenge badala ya kumshambulia.
 
kikundi cha wahuni wachache wakiongozwa na aliyewahi kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Simanjiro akaangukia pua James Millya walikutana Kibo palace Hotel, nakupanga mbinu mbali mbali za kuchafua mbunge machachari wa Simanjiro Mh Olesendeka, mpango huo ulifadhiliwa na Mkurugenzi wa IOPA Martin Sanago, moja ya mbinu zilizo pangwa na wahuni hao ni kwenda kwa wapiga kura wa Mh Sendeka kuwahadaa wananchi kuwa mh Sendeka ndio fisadi wa Ardhi, Mkatiti huu uliasisiwa na Martini kwa lengo la kuficha ukweli la jinsi alivyotumia shirika lake hilo kuhujumu miundo mbinu za simanjiro na kujichukulia Ardhi, jambo la kumshukuru mungu wanasimanjiro wameshasanuka kuwa hao wanajiita wasomi wa Simanjiro ni wahuni watupu. Na wameshapuunzwa.

Nikikuita mpuuzi, nadhani haitoshi na wala sitosema baya lolote kuhusu wewe maana wewe unafahamika humu JF kuwa ni mtu wa hovyo tu...na unaejaribu kumsafisha na kudai anachafuliwa, Wtz wote wanajua kuwa keshajichafua mwenyewe kitambo sana! Nitatoa mifano michache tu: Huyu unaemtetea (Sendeka) kuna wakati alijipambanua na kundi lao kuwa ni "makamanda wapambanaji wa ufisadi" wakati ule wa scandal ya Richmond; baada ya muda mfupi tu, Mh. Sitta akatishwa na kutaka kung'olewa katika kiti cha uspika na pengine angefukuzwa uanachama. Yeye na kundi lake la akina olesendeka, wakarudisha majeshi nyuma...na habari kutoka katika vyanzo sahihi na pengine nidokeze (kutoka kundi la akina Lowassa) wakaanza kutembeza bakora kwa wapambanaji akiwepo olesendeka, wote wakasalimu amri na kulamba matapishi yao. Olesendeka mwenyewe alikwisha omba msamaha kwa fisadi lowassa na huo msamaha ulikataliwa maana lowassa ana kinyongo sana. Badala yake lowassa alimsamehe kinafki na kuahidi kulipiza kisasi siku na wakati wowote (sources: marafiki wa lowassa). Huu ni mfano mmoja kuwa sendeka ni mhuni, mnafki na amejichafua na hakuchafuliwa.

Mfano mwingine kuhusu sendeka kujichafua mwenyewe; ni katika Kamati ya Nishati na Madini of which alikua mjumbe. Kamati hii ilivunjwaga kutokana na tuhuma za rushwa na habari na vyanzo sahihi kutoka ndani ya Kamati na ndani ya Wabunge wa CCM, ni kwamba baadhi ya wanakamati walihusika moja kwa moja kupokea rushwa na sendeka alikua mnufaikaji MKUU katika sakata hilo. Hili CCM walilizima kwa manufaa ya chama chao! Kwa mifano hii michache tu na mengine mengi sana, SASA NIMHOJI MLETA MADA; NANI KAMCHAFUA SENDEKA?

Kwa faida ya wana jamvi, ni kwamba ule mkutano uliandaliwa na wasomi wa kimaasai na wadau wengine ikiwa na Mada zifuatazo: 1. Kujadili Rasilimali zilizopo katika Wilaya za Umasaini na kiwango cha umasikini katika maeneo hayo ambazo imekaliwa na CCM kwa nusu karne sasa huku umaskini ukiwa umeongezeka na kujadili pia changamoto na the way forward. 2. Kwa kuwa kikao kiliandaliwa na CDM chini ya ufadhili wa Mh. Lema mbunge wa Arusha mjini, Mh. Millya na Diwani wa Olturoto Arumeru Mh. Gipson, pia kulikuwa na mada ya uongozi na na hatma ya chama cha CDM katika maeneo hayo ya umasaini. Huyo anaetwa Martin Sanago, wala hakutoa shilingi na sijui kwanini olemandalo unawashwa na pilipili usioiila...hizi ni dalili za kushindwa na kuogopa kivuli cha mtu! Na hapa tunapata tafsiri kuwa kazi inayofanyika kuwashughulikia magamba akina sendeka kumbe inawaletea kiwewe sana!

Nawashauri vijana wa CDM kokote waendelee na jitihada hizi tena kwa kasi ya ajabu na ikiwa wanahitaji feedback, wala wasijiulize wao wenyewe kwa wenyewe bali wasubiri kutoka kwa magamba-CCM!

Mods, nakuomba sana ikiwezekana huyu mpuuzi aondolewe kwenye hii forum, wakatafute forums za kipuuzi maana forum hii inaheshimika sana kwa kupost vitu ambavyo accurate na sio upuuzi upuuzi kama za huyu OLEMANDALO..
 
kikundi cha wahuni wachache wakiongozwa na aliyewahi kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Simanjiro akaangukia pua James Millya walikutana Kibo palace Hotel, nakupanga mbinu mbali mbali za kuchafua mbunge machachari wa Simanjiro Mh Olesendeka, mpango huo ulifadhiliwa na Mkurugenzi wa IOPA Martin Sanago, moja ya mbinu zilizo pangwa na wahuni hao n
Hiyo ndio staili ya makamanda wakitaka kutoka kisiasa. Watanzania washawagundua tayari.
 
Linabeba Mavi na Monyoo! Yote ni shauri ya Ulafi,huyu bwana anakula hakuna mfano. Siku moja nilimkuta pale Seven Up akila nyama huwezi amini alikula zaidi ya kilo 3 mwenyewe.

Sasa wewe unaetuletea Story za hilo TIKITI MAJI Sendeka huoni unatuboa?!? 2015 ndio mwisho wake kwenda Bungeni halafu tuone hilo tumbo atajaza upepo au?
Mimi nafikiri hatumtendei haki Mh. Ole Sendeka kwa kumtukana. Yeye hajaleta huo uzi aliyeleta ni mwingine. Halafu hivi hakuna njia ya kistaarabu ya kujibu hoja ambayo si matusi? Hebu fikiri ni baba yako angekuwa anatukanwa hivi au ni kakako au ndugu yako yoyote ungejisikiaje? Bado naamini tunaweza kujibu hoja bila matusi au lugha za kuwadhalilisha wengine.
 
wanajamvi naomba niweke recod sawa sawa, sijawahi kufikiri kuwa kuchafuana ndo mtaji wa kisiasa, Sendeka alishajichafua mwenyewe, siwezi tumia mda wangu kufikiria kuchafua mtu aliyeshindwa kuwaletea wanasimanjiro maendeleo, hiyo tu inatosha kumchafua Sendeka, najua mmekuwa na mawazo hayo kwa sababu nyinyi mnafikiri tuna mwazo kama yakwenu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom