Kitendo cha Dr Slaa kummaliza kabisa Sitta kisiasa ni mbinu ya kisiasa ambayo Chadema wanategemea itawalipa baadae. Kwa mtazamo wa think Tank za chadema, kama ni urais 2015, ni afadhali kuwa na Lowassa kama mgombea wa CCM kuliko Samwel Sitta au mtu wa kambi yake. Kwa nini?
(i) Kwanza Samwel Sitta ana mambo ya kuelezea umma kuwa anaenda kuleta changes wakati Lowassa hawezi kuwaamisha watu kuwa anaenda kufanya mabadiliko
(ii) Pili, Lowassa na kambi yake wana kashfa nzito ambazo ni ngumu kuzifuta vichwani kwa watu kuliko Sitta ambaye hana kashfa. Kwamba alitaka kwenda upinzani utakuwa utetezi wake kuwa alipanga kwenda kuleta changes
(iii) Lowassa ana nguvu ndani ya CCM ila hauziki nje wakati Sitta anauzika nje na kambi yake ina watu wanaokubalika nje
(iv) Lowassa ni mtu wa kaskazini hivyo akigombea ile hoja ya ukaskazini haitakuwa na nguvu kwani wagombea wote ni wa kaskazini
(v) Kwa vile kuna watu hasa akina Sitta waliomtendea vibaya Lowassaa, kuna uwezekano Lowassa akiteuliwa hawa waloiokuwa maadui zake watahamia upinzani na hivyo kuigawa CCM au wataihujumu CCM ili Lowassa asishinde maana atalipiza kisasi
Ni kwa sababu hizo think tank za chadema zinaona ni afadhali kuwabomoa wafuasi wa Lowassa na ikiwezekana kumsaidia Lowassa awe mgombea ili kuishinda CCM kirahisi. Source, nimetonywa na mtu wa ndani ya system ya Chadema