Mbeya: Serikali yawasilisha pingamizi dhidi ya kesi iliyofunguliwa kupinga mkataba wa DP World

Hilo neno " Mahakama sio baba yako Wala mama yako" ni neno la kisheria na sio kama ulivyotafsiri wewe kwa kutumia Plain rule method ( Litera legis)
Inatumika kwenye sheria kumaanusha kuwa mahakama haikupi kitu ambacho hujakiomba au umeomba kitu A ikupe kitu B. Mahakama hukupa tuu kile ulicholipmba na kitu hicho ukikosea kukiomba bila kufuata taratibu za kisheria basi hsitachukua muda kufikiria lablda ulimba kitu Fulani bacho umeshindwa kujiweka sawa badala yake itatoka amri ya kufukuza jambo hilo uliolipeleka mahakamani. NDIO TAFSIRI ISIYO RASMI YA "MAHAKAMA SIO BABA YAKO WALA MAMA YAKO"
Mkuu, hatupo mahakamani hapa.
Come down from your pedestal!

Kila mtu humu anayo ya kwake.

Kwa hiyo unachosema hapa, ukishakosea tu kutafuta haki yako, hiyo haki hata kama unaistahili huipati, au siyo?

Mbona hizi mahakama zitakuwa ni mahakama za ajabu sana!
 
Proceeding ya leo 25/7/2023 iko wapi?

Nasikia serikali imeondoa pingamizi lake la awali. Je ni kwa sababu gani wameliondoa?
 
Back
Top Bottom