Mbeya na fedha za Manyoka(kuku+ulezi)

Si wote jamani, namfahamu jamaa mmoja jirani yagu ambaye Kila kukicha "wenyeji" wanamwita "Mshirikina ndy maana anatajirika!" Lakn binafsi nikiangalia pesa anazoinvest na marejesho anayopata ni sawa kabisa kutajirika siku hadi siku, he is up saa kumi na moja alfajiri na analala saa saba usiku!!!!! wabongo wengi hawakosi maneno wanapoona mafanikio ya wenzao! UVIVU TU.:angry:
 
Wana Jamvi!! hii story ya kuku na punje za mahindi ni kweli kabisa, muulize mtu yeyote aliyekaa mbeya!!!!!
 
Hivi kweli kuna uwezekano wa kumwekea kuku mahindi akala mahindi mawili au matatu? Nnavyojua kuku akianza Kula ni mpaka umfukuze mwenyewe
 
Vijana Waachane Na Betting Waende Songwe Huko Nako
Tuone Kama Wana Ujasiri Huo
 
Back
Top Bottom