Mbeya kwa waka tena ni vurugu nyingine.

ibra919

Member
Apr 16, 2012
23
6
Ndugu zangu watanzania kwa mara nyingine tena mbeya yalipuka kwa moto,mara hii ni eneo la ndaga ktk wilaya ya Rungwe barabara ya malawi mbeya.vurugu hiz zimetokana na kitendo cha serikari kuweka ushuru mkubwa wa mazao ktk enenm hilo.Vurugu hizo zimepelekea kuchomwa kwa matairi barabarani na kusababisha usumbufu kwa wasafiri walio kuwa wakitumia njia hiyo kati ya saa7 mchana hadi saa 10 jion gii ndio TANZANIA bhana.Naomba kuwashlisha.
 
Napata matumaini kusikia vile wananchi wamechagua njia tofauti ya kuwasilisha ujumbe wa kupinga uonevu na unyonyaji.Hata pale Katumba hicho kitabia cha wizi kipo sana.Mita chache toka kiwandani kuna kawaida ya kuweka gate na kudai ishuru haswa kwa mazao ya mahindi na viazi vitamu toka Mwakaleli. Na hata hao wabunge wazee naamini wananchi wameanza kuwachoka kwa hawawasemei bungeni masuala yao ya kilimo na ukosefu wa masoko.
 
Wanafanya shamba la bb watushika mikono vipofu..2mewadaka serikali dhaifu
 
Kwani unadhani tumewazidi nini Misri, Tunisia, Morocco, Syria na kwingineko duniani?
 
Kama watawala wasipotusikili:israel:za basi wananchi tutajiongoza wenyewe
 
Nyie vurugu ndio harakati zenu chomeni hadi nyumba zenu

Napesm, usitutafutie ban humu. Serikali yako dhaifu na Raisi wenu dhaifu mnatusababishia mfumuko wa bei kwa kuanzisha ushuru na kodi ambazo husababisha bei za bidhaa hizo kupaa masokoni, huku mkikikwepa na kukataa katakata kutoza ushuru na kodi madini kwa kuwanufasha wazungu na walanchi hii. Nina hasira Ningekutukana acha nikutukane kimoyomoyo***.
 
Zomba, muulize JK na nyinyiem yenu kwanini wana allergy ya kutoza kodi madini yanayochimbwa nchini kama kweli wana nia ya dhati ya kuiendeleza Tanzania?
 
Poleni sana, ungeweka walau kapicha kuweka msisizo.

Mkuu tukio ni la kweli mimi ninaishi Mbeya jana Defender sita za policeccm zilipita mkuku policeccm wakiwa na siraha kwenda kwenda kukabiliana na wasafwa walioamka toka usingizi wa poropoganda za ccm baada ya kupigika kimaisha na hakuna tumaini la unafuu wa maisha nchi ikiwa chini ya ccm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom