Mbeya Kuna Mambo: Hebu Cheki Majina wanayopewa Watoto wa Kisafwa

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Mbeya ni Mkoa wenye Historia tata sana Tanzania, ni Mkoa wenye Makanisa Mengi sana lakini ni Mkoa ambao watu wake wanawindana kama Chui anapowindwa kwa maana Ngozi yake ni dili, lakini vile vile ni Mkoa ambao sasa ikifika saa Kumi na Mbili wakazi wake hujifungia ndani ili kuepuka kushambuliwa kwa Nondo kwa imani za Kishirikina.

Lakini nimekutana na Jambo la Ajabu ajabu sana juu ya hawa ndugu zetu Wasfwa ambao ndio wakazi wa Mbeya, wamekuwa wakiwapa watoto wao Majina mpaka unashangaa sana

Mfano wa Majina ya watoto ambayo niliyowahi kukutana nayo pale nilipokuwa niko zamu kwenye wodi ya watoto Rufaa

1: Frank Lampard Mwambulukutu ( hako ni katoto kadogo)
2. Scania Hundred
3: RPCMorogoro Mwakyoma
4: Rooney

Sasa Mtu unamwita mtoto wako RPCMorogoro kweli haya ni Mapenzi au

Napenda sana kusikia kutoka kwa Wasafwa naamini mko hapa Jukwaani
 
Hayo ni majina manne tu kati ya wanyakyusa takribani 1050000.

Rooney peke yake haiashirii unyakyusa kama ilivyo Scania Hundred, hujaweka uthibitisho kuwa hao ni wanyakyusa.

Kulikuwa na kiongozi wa juu jeshi la polisi anaitwa Absolom Mwakyoma isijekuwa umechanganya dawa na mtu akamwita kwa cheo, mkoa wake na jina la ukoo ukadhania ni jina la kuzaliwa.

Frank ni jina kikristo lenye asili ya uingereza vile vile Lampard ni jina kikristo lenye asili ya uingereza na kaikatazwi na wala si ajabu kumpa mtoto majina hayo mawili.
 
Heading, majina ya ajabu ya wasafwa, hoja ya kwanza ushirikina na kupigwa nondo, hoja ya pili majina ya wasafwa. Hoja mbili tofauti kwenye thread moja. Tujadili ipi kwa kipaumbele?
 
Kasema wasafya sio wanyaki alaa! Hebu soma vizuri usilete makambo. Kama we msafya mweleweshe tu.
Hayo ni majina manne tu kati ya wanyakyusa takribani 1050000.

Rooney peke yake haiashirii unyakyusa kama ilivyo Scania Hundred, hujaweka uthibitisho kuwa hao ni wanyakyusa.

Kulikuwa na kiongozi wa juu jeshi la polisi anaitwa Absolom Mwakyoma isijekuwa umechanganya dawa na mtu akamwita kwa cheo, mkoa wake na jina la ukoo ukadhania ni jina la kuzaliwa.

Frank ni jina kikristo lenye asili ya uingereza vile vile Lampard ni jina kikristo lenye asili ya uingereza na kaikatazwi na wala si ajabu kumpa mtoto majina hayo mawili.
 
Hayo ni majina manne tu kati ya wanyakyusa takribani 1050000.

Rooney peke yake haiashirii unyakyusa kama ilivyo Scania Hundred, hujaweka uthibitisho kuwa hao ni wanyakyusa.

Kulikuwa na kiongozi wa juu jeshi la polisi anaitwa Absolom Mwakyoma isijekuwa umechanganya dawa na mtu akamwita kwa cheo, mkoa wake na jina la ukoo ukadhania ni jina la kuzaliwa.

Frank ni jina kikristo lenye asili ya uingereza vile vile Lampard ni jina kikristo lenye asili ya uingereza na kaikatazwi na wala si ajabu kumpa mtoto majina hayo mawili.

Mkuu Nimezungumzia Wasafwa na siyo Wanyakyusa
 
Majina ya waakazi wa mkoa wa Mbeya na wenyeji wa mkoa huo yapo tayari kwenye thread kadhaa hapa JF, zaidi kuna mpaka thread inayozungumzia tabia nzima za Wanyakyusa na wenyeji wengine wa mkoa wa Mbeya.

Ingependeza zaidi ili bandiko lako kama ilingekuwa ni endelezo katika mabandiko yaliyotangulia. Hii ingeweza kupunguza ushangao wako juu ya Wanyakyusa na kupata elimu zaidi juu yao!
 
Back
Top Bottom