Mbeya bwana....du Mke na mume wazitwanga Kanisani, Ibada yavunjika

acha kuandika mambo usiyoyajua, waislamu wapo. Nenda Kyela utawakuta akina Mwaiposa, Mwaisaka wote ni waislamu.

OK cjui kwa wanyakyusa wa kyela ila kwa rungwe hamna waislamu navyojua japo cjakaa huko ila kama wapo ni less than 1% ya wanyakyusa wote.

Ushawahi ona wapi mnyakyusa kawa muislamu? Wanyakyusa hawajaupokea uislamu kabisa tofauti na wanyamwezi au waha wa kigoma
hbu usifikirie kwa kutumia masaburi..................nenda mbeya wanyakyusa waislamu kibao,mie ni mkristo na usidhani na watetea,simple minded

Si unajua jamaa alitaka chai ya khanga moja...Kitenge siyo transparent kwa hiyo khanga ya India ndo inaonyesha zaidi mwili wa binadamu na jaama akiwa anapata chai safi akimaliza kama moja ya kujigjig ndo faida ya kuoa bwana saa yoyote ile mama anatakiwa akae mkao wa kuliwaaaaaa

acha kuandika mambo usiyoyajua, waislamu wapo. Nenda Kyela utawakuta akina Mwaiposa, Mwaisaka wote ni waislamu.

Mwaiposa namfaham,...lakn mwaisaka mmmmmmh!...sijui,...anyway wapo lakn ni kama 0.001% ya wanyakyusa wote,...ni kama wakristo wa asili ya saudi arabia

hbu usifikirie kwa kutumia masaburi..................nenda mbeya wanyakyusa waislamu kibao,mie ni mkristo na usidhani na watetea,simple minded

mbeya ipi hiyo unayosema waislam wapo kibao,......huyo rafiki yako amewataja mwaiposa na mwaisaka_kati ya wanyakyusa malaki mengi,...anyway sijui unaposema kibao kwako unamaanisha wangapi?

kwani mnyakyusa hawezi kuwa muislam..............huh,simple minded

yaani wewe ndiye mikatabafeki kweli,mtu akitofautiana na wewe tu ndiye simple minded,....toa data ili kujenga hoja sio kuleta dharau za kijinga hapa

OK cjui kwa wanyakyusa wa kyela ila kwa rungwe hamna waislamu navyojua japo cjakaa huko ila kama wapo ni less than 1% ya wanyakyusa wote.

wanyakyusa wote ni sawa,...hawana mfungamano na uislam kabisa,....hata kama haujaishi mby _utawaona mikoani kama kuna waislam_.....naweza kukutajia waislam karibu wote waliopo hapo dar ambao ni wanyakyusa hawazidi hata sita,..kwa hapa arusha hawazidi hata watano.

OK cjui kwa wanyakyusa wa kyela ila kwa rungwe hamna waislamu navyojua japo cjakaa huko ila kama wapo ni less than 1% ya wanyakyusa wote.

Umeweka kadirio la juu sana..

Kwa Wanyakyusa, Waislam ni chini ya 0.1%.

hbu usifikirie kwa kutumia masaburi..................nenda mbeya wanyakyusa waislamu kibao,mie ni mkristo na usidhani na watetea,simple minded

Actually kibao ni related term, ila kwa kiwango cha kawaida umepotoka sana.

Kimsingi sio kazi rahisi kumpata Mnyakyusa aliyeMuislam, katika Wanyakyusa elfu 1000 unaweza ukabahatika kumpata Muislam mmoja (1) tu.

umenena ukweli mtupu mkuu,....na ktk hata 1000 hauwezi kumpata kabisa.

Si unajua jamaa alitaka chai ya khanga moja...Kitenge siyo transparent kwa hiyo khanga ya India ndo inaonyesha zaidi mwili wa binadamu na jaama akiwa anapata chai safi akimaliza kama moja ya kujigjig ndo faida ya kuoa bwana saa yoyote ile mama anatakiwa akae mkao wa kuliwaaaaaa

HIHIHII JAMAA ILITAKA KANGA MOKO ILI CHAI ISHUKE FRESH ASA MAMA INATIA NINJA ASEE HUO NAO NI MFUMO DUME UNAWEZA KUTA HATA MAZINGIRA HAYAKUWA YAKIRUHUSU HIYO KANGA DUU

umenena ukweli mtupu mkuu,....na ktk hata 1000 hauwezi kumpata kabisa.

Its true mkuu, ndio maana nikasema akiwa na bahati, maana mie mwenyewe ni Mnyakyusa lakini mpaka leo bado sijabahatika kukutana na Mnyakyusa aliye Muislam.

wanandoa wawili wakazi wa mtaa wa block t jijini mbeya wasababisha kuvurugika ibada.

*ampiga mke wake, mke akimbilia kanisani.
*mchungaji aacha mahubiri na kuamulia ugomvi,
*waumini wamfikisha mume kituo cha polisi

imetokea katika kanisa la tanzania assemblies of god (t.a.g) mtaa wa block t jijini mbeya. Ambapo sakata hilo lilianza nyumbani pale mme anayejulikana kwa jina la lusekelo muumini wa dini ya kiislamu alipo mkewe anayefahamika kwa jina la bahati avae vazi la khanga ndipo mwanamke huyo alivyo kaidi na kuvaa kitenge kitendo kilicho muudhi mmewe na kuanza kumpiga.

Baada ya kuona kichapo kikizidi mwanamke huyo aliamua kukimbilia katika kanisa hilo la mchungaji angolwisye mwasunda akiwa madhabahuni, hali iliyofanya ibada kuvurugika baada ya mchungaji na waumini kuamulia ugomvi huondani ya kanisa hilo takatifu.

Waumini walikuwa na zoezi nzito la kumdhibiti lusekelo na hivyo kutoa taarifa kituo kidogo cha polisi kilichopo mwanjelwa ambapo alifunguliwa rb hii mwnj/rb/2630/2011. Haikuishia hapo, mtuhumiwa aliendelea kuporomosha matusi mazito hali iliyopelekea mkuu wa kituo cha polisi hicho kumpeleka mtuhumiwa lusekelo kiruo kikuu cha ktai kilichopo jijini mbeya na kufungualia jalada/faili lenye namba mb/ir/7561/2011 kwa kosa la
kufanya fujo kanisani.
kupiga mke katika uislam ni halali kabisa...hakuna kosa kwa mume kumtwanga mke wake

hbu usifikirie kwa kutumia masaburi..................nenda mbeya wanyakyusa waislamu kibao,mie ni mkristo na usidhani na watetea,simple minded

Tusidanganyane bwana. Wanyakyusa waislam ni wachache sana. Hata kuweka kwenye percent 1 ni karidio kubwa mno. Ninaweza kusema labda utamwona mwislamu mmoja mnyakyusa, katika wanyakyusa elfu 50.
Waislam wa Kinyakyusa ni wale ambao ama mababu zao walipoenda kuomba kazi kama za ulinzi, kuuza duka na kupika kwa waarabu walilazimishwa kusilimu au walipoenda mikoa ya pwani kukata katani au kufanya shughuli nyingine walilazimishwa kusilimu (na kutahiriwa) na mabinti wa kiislam. Wengine pia walikuwa wakienda pwani, kuonesha kastaarabika anakuja na dini mpya ya kiislam.
Lakini pia watu wengi ambao babu zao walisilimu, wameishia kurudi katika dini ya ukristo, hasa kwa kuwa dini ya kiislam haijakubalika sana katika jamii ya kinyakyusa.
Lakini Mbeya usishangae mtu anaitwa Aziz, Yahaya, Hussein, Asha, Salma, Khatibu, Juman, Khamis n.k. ukadhani ni mwislam mwenzako kumbe kabatizwa Lutheran, Moravian, Katoliki au Mlokole. Wengi wamechukua majina ya watu wa pwani bila kujali dini.

Makanisa ya kimaslahi hayo.
Ulielewa mada kweli? Mtaani huko mume kamchapa mkewe kisa kamtaka avae khanga badala yake mkewe kakaidi na kuamua kuvaa kitenge. Kichapo kilipozidi kaona mahali pa kuokolea maisha yake ni kukimbilia kanisani ambapo pamoja na kuvuruga ibada za watu, walimwokoa kutokana na kipigo cha mumewe ambaye alimkimbiza hadi kwenye ibada za watu zisizowahusu. Sasa kwa tukio hilo "makanisa ya maslahi" yanatoka wapi? Hukuelewa mada wewe.

I

Back
Top Bottom