Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

Kabisa sema kuna jamii zinaamini hayo mambo sana.
sisi kwenye ukoo wetu tuliamua kukomesha kabisa imani za kishirikina, tunamshangaa sana mwanaukoo anayeamini ushirikina na hatumuungi mkono hoja zake za imani za kulogwa anapozileta kikaoni. Hatutaki mambo ya ramli na kuamini kulogwa
 
Huu ni unyama mkubwa sana .hawa waliofanya hivyo wote wanatakiwa kupata adhabu ya kifo.!
 
Mkwajuni siyo Mbeya
Ivuna nayo haiko Mbeya vyote hivyo vipo mkoa wa Songwe baada ya kuumega mkoa wa Mbeya na kutokea mkoa mwingine wa Songwe ,,, Ileje, Mbozi, Momba, na Mkwajuni ni wilaya ambazo zinapatika Songwe.
 
Mtu unaumwa Tumbo unaenda kwa mganga was kienyeji Mtu ambaye hana Elimu ,anaishi katika umasikini hajui hata Aina yoyote ya dawa za kutibu then anakupa dawa iliyochanganywa na mikojo then ile reaction ya sumu inamfanya Mtu anakufa

Baada ya hapo mnapiga mtu na kumzika hai

Ukosefu wa MAARIFA ndo tatizo kubwa hapa Tanzania.
Unaujua uchawi na ubaya wa wachawi wewe..?
 
Back
Top Bottom