William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Namfahamu Mzee Zuma Personal,na kwa wale wenye kumbukumbu Nzuri,Zuma alikuwa ni mmoja kati ya watu waliokuwa karibu na Mzee Mwakalindile na Maftah kwenye Ubalozi wetu Mozambique.Zuma ni mmoja wa Viongozi walioshiriki kwenye Mkataba wa NKOMATI huko Maputo,ambako alilazimika kuondoka Maputo 1984 na kuhamia Lusaka na baada ya Mwaka mmoja tu 1985 alikuwa Chief Intelligent Officer katika ofisi za ANC - Lusaka na kipindi hicho alikuwa anafanya kazi na Thabo Mbeki.
Mkuu Mwawado,
Heshima mbele na ubarikiwe maana hoja nzito sana, inatosha kwa leo mkuu pumzika maana this is pure giladi, and I love it!