Siasa zetu bado ni za woga sana. Hapa nyumbani, wengi wa walio katika nafasi za kumwambia rais hivyo, wamefika hapo walipo kwa fadhila za rais na chama chao, hivyo si rahisi wakafikia hatua hiyo.
Lakini inabidi pia tuangalie na mfumo wetu. Ninavyofahamu, rais wa SA hachaguliwi na wananchi moja kwa moja isipokuwa kila chama kinataja jina la kiongozi wake atakayekuwa rais na kikipata kura nyingi hutyo ndoye anayekuwa rais baada ya kuthibitishwa na Bunge. Kwa msingi huu, Bunge lina mamlaka makubwa sana ya kumwajibisha rais iwapo ataonekana kukosea.
Hapa kweli na mfumo wa winner takes all, ni vigumu sana kwa Bunge kuchukua hatua kama hii. Ingawa katiba ina ruhusu Bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais, lakini majaliwa na Bunge pia yapo mikononi mwa rais, hivyo akiona linamtishia maisha yake, anaweza kulivunja wakati wowote!
mbeki is luck to resign Pinda amefukuzwa kama mwizi
You ask JK to step down today and cling to it you may just dissappear into thin air and we might not see you again!
Watch Out!
mbeki is luck to resign Pinda amefukuzwa kama mwizi.....
.......am i missing something here?
mbeki is luck to resign Pinda amefukuzwa kama mwizi