mmmhh inategemea unakula milo mingapi kwa siku kama miwiili and below kazi ni kubwa sana kunenepa lakini ukijitahd hata 2.5 nk kauwezekano kapo kidogo,..nakuhakikishia
Mimi sili mbegu za kiume nala breakfast , na lunch. Usiku fruits
mmmhh inategemea unakula milo mingapi kwa siku kama miwiili and below kazi ni kubwa sana kunenepa lakini ukijitahd hata 2.5 nk kauwezekano kapo kidogo,..nakuhakikishia
Kula vyakula ambavyo ni good source ya protein ,mayai ya kuchemsha, nyama, maziwa fresh changa na asali, ongeza uji wa soya au kunde. Supu ya samaki ,maharage. Pia tumia natural juices usichanganye matunda zaidi ya matatu,kula carrots, avocado muda ambao tumbo liko empty.
supu ya pweza au juice ya tende changanya na maziwa mgando kama yale ya tanga fresh mtindi.
Kama zikikukubali................
Nimeuliza maana ninawashangaa wanaoniambia kwamba mbegu za mumeo zimekukubali. Kisa nimeongezeka sana toka nimeolewa. Nimeolewa miezi minne ilopita.Though not pregnant but meongezeka. Sasa nimewasikia watu wengi wakiniambia hivyo. Nawashangaa kweli ndio nikasema niulize
Nilifikiri unatafuta mbegu za kununua
mine 4-5 million depends na maelewano twaweza shuka kidogo..nakupa biashra tufanye kazi tumekalia uchumi wenyewe...ntafutie soko
Hazinenepeshi ndugu, kitu kinachonenepesha ni kile kinacholiwa na kuingia kwenye mfumo wa chakula, usimdanganye mwenzio,
Samahani usije niambia nithibitishe kwa nini nimekuambia umedanganya.
Nimeuliza maana ninawashangaa wanaoniambia kwamba mbegu za mumeo zimekukubali. Kisa nimeongezeka sana toka nimeolewa. Nimeolewa miezi minne ilopita.Though not pregnant but meongezeka. Sasa nimewasikia watu wengi wakiniambia hivyo. Nawashangaa kweli ndio nikasema niulize
Mh. We mdada... Hizo nilizobold sio... Hivi unajua kuwa soya ni oestrogenic? Zinaongeza uzalishaji wa hormone ya oestrogen (hormone ya kike). Akila hizo lazima aote matiti. Hata mwanamke akila sana soya, ajue kuna vitu vitabadilika ...hamu ya ngono, Urefu na intensity ya menstruation, ngozi na mbaya zaidi zinaweza kusababisha mauvimbe kwenye tumbo la uzazi...
Mwanangu hapa JF inabidi uwe na akili za mbayuwayu. Halafu jaribu kusearch kwanza humu jamvini kabla hujauliza kitu. Hili swali lako lilishaelezwa humu kama wiki iliyopita tena kitaalamu kabisa. Inaonyesha wachangiaji karibu wote aidha hawakuiona hiyo posti, au wamesahau au wanakupotezea. Akili m kichwa!
Mbegu hazinenepeshi dada, ila umeridhika tu na maisha ya ndoa, ingekuwa hivyo machangudoa wangekuwa wanene sana.
Mbegu hazinenepeshi dada, ila umeridhika tu na maisha ya ndoa, ingekuwa hivyo machangudoa wangekuwa wanene sana.