Mbegu za Kiume za Beckham Kununuliwa kwa Euro Milioni 75

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
3632354.jpg

David Beckham Friday, November 27, 2009 11:12 PM
Benki moja ya mbegu za kiume iliyopo California nchini Marekani iko tayari kununua mbegu za kiume za mchezaji nyota wa Uingereza David Beckham kwa euro milioni 75 kwaajili ya wanawake matajiri wanaotaka kupata watoto wanaofanana na watu maarufu. Wanawake matajiri wanaotaka watoto wanaofanana na watu maarufu duniani wameongezeka kwa wingi na kuifanya benki ya mbegu za kiume yenye makazi yake California nchini Marekani Cryobank ijaribu kununua mbegu za kiume za watu maarufu.

Cryobank inadaiwa kumfuata mchezaji nyota wa Uingereza anayesakata kabumbu nchini Marekani, David Beckham na kumshawishi awauzie mbegu zake za kiume kwa euro milioni 75.

Hata hivyo inadaiwa kuwa David Beckham alikataa dili hilo.

Cryobank mbali ya Beckham inadaiwa kuwafuata pia nyota kibao wa filamu wa nchini Marekani wakiwataka wachangie mbegu zao za kiume kwenye benki hiyo kwa malipo ya mamilioni ya Euro.

Mmoja wa nyota hao ni Brad Pitt aliyeambiwa atalipwa euro milioni 60 iwapo atachangia mbegu zake za kiume kwenye benki hiyo.

Mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo anayechezea timu ya Real Madrid ya Hispania naye yumo kwenye listi hiyo ya masupastaa na mbegu zake za kiume zinahitajika kwa euro milioni 50.

Cryobank kwa miaka 30 sasa imekuwa ikijishughulisha na upandikizaji wa mimba kwa wanawake kwa kutumia mbegu za kiume za watu wanaojitolea kwenye benki hiyo.

Cryobank imekuwa ikijiingizia mamilioni ya dola kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaotaka kupata watoto kwa njia ya upandikizaji wa mbegu za kiume.
http://abcnews.go.com/Nightline/cel...resemble-stars-david-beckham/story?id=8781583

WAJE KUNUNUWA MBEGU ZA KWANGU JAMANI NINA NJAA YA KUFA
 
Mtu maarufu mmoja akikubali itakuwa breakthrough hawa matajiri watakuwa wanatoa bila kuona aibu. Hapo wanaogopa aibu kuwa wanatamaa lakini baabdae itakuwa kawaida na watu wote duniani ktk miaka kadhaa watakuwa wanafanana.
 
Kuna tofauti gani na kuzaa nje na kutelekeza mtoto?

I think tofauti ni kuwa this's considered legal, (by human standards)?!
But I wonder, mtoto akikuwa na kutaka kujua baba yake ni nani kama atakuwa ana haki ya
Kuambiwa!
 
Mtu maarufu mmoja akikubali itakuwa breakthrough hawa matajiri watakuwa wanatoa bila kuona aibu. Hapo wanaogopa aibu kuwa wanatamaa lakini baabdae itakuwa kawaida na watu wote duniani ktk miaka kadhaa watakuwa wanafanana.
Hebu fafanuakufanana huko kutatokeaje,mzee!
 
wewe mwanamke utakuwa ni mwanga kwa maneno yako unavyopenda kuzungumza nina wasiwasi wewe ni mwanga .
FaizaFoxy yupo sahihi Mkuu MziziMkavu.
Wazazi wakiwa wasomi, mtoto huwa na akili vile vile.

Mzazi akiwa na kipaji, mtoto vile vile anapata kipaji.

Kipaji siyo automatic, lakini good DNA inakusaidia sana.

Ndiyo maana watu wengi wanaotaka kununua mbegu, wanachagua za maprofesa au watu wenye kipaji.

Mtoto wa kwanza wa Beckham, Brooklyn, ameshaanza kucheza mpira Arsenal Youth Team na Arsenal Under 18.
Coincidence? I don't think so.

Hamna uchawi wala uwanga.
Simple genetics.

Soma zaidi chini:

Scientists at Kings College, London, have found the first gene which appears to be directly linked to intelligence

A gene which may make people more intelligent has been discovered by scientists.

Researchers have found that teenagers who had a highly functioning NPTN gene performed better in intelligence tests.

It is thought the NPTN gene indirectly affects how the brain cells communicate and may control the formation of the cerebral cortex, the outermost layer of the human brain, also known as ‘grey matter.’

source:telegraph.co.uk


Up to 40 per cent of a child's intelligence is passed down from the parents, according to a new study.

They found that between 20 and 40 per cent of the variation in childhood IQ is due to genetic factors, less than the 40 to 50 per cent suggested by previous research.

Dr Benyamin and his colleagues analysed DNA samples from 18,000 children aged six to 18 from Australia, the Netherlands, the UK and the U.S, along with their IQ scores.

source:dailymail.co.uk


Human genetics can play a major role in determining an athlete’s potential. Genetic information is passed from parent to child and is stored within human cells in the form of DNA (deoxyribonucleic acid).

An individual’s DNA influences attributes such as height and weight and can help to determine if an individual has a predisposition towards athleticism.

Genes play a major role in body type and athletic ability, but an athlete must also work hard to realize his/her potential.

source:sportsnscience.utah.edu
 
Last edited by a moderator:
wewe mwanamke utakuwa ni mwanga kwa maneno yako unavyopenda kuzungumza nina wasiwasi wewe ni mwanga .

Haya siyo maneno yako "WAJE KUNUNUWA MBEGU ZA KWANGU JAMANI NINA NJAA YA KUFA" ?

Sasa ni mwehu gani duniani atakuja kununuwa mbegu za mtu mwenye "njaa ya kufa", hata mbegu za ng'ombe mwenye njaa hakuna anaetaka licha ya binaadam "mwenye njaa" tena ya "kufa".

Licha ya mwenye njaa tu kuwa hawamtaki, na mimi nnakuongezea upunguani juu yake, ni mwehu yupi ataekubali hayo? Wewe hata ukija kwetu kuposa hakubaliki maana tunatazama vigezo vya Kiislam:

Kwa uzuri wao - Jee unao?
Kwa mali zao - Jee unazo?
Kwa nasaba zao - Jee una nasaba njema?
Kwa ucha Mungu wao - Jee, ni mcha Mungu au mcha sheitan?

Hapo sasa!
 
Haya siyo maneno yako "WAJE KUNUNUWA MBEGU ZA KWANGU JAMANI NINA NJAA YA KUFA" ?

Sasa ni mwehu gani duniani atakuja kununuwa mbegu za mtu mwenye "njaa ya kufa"hata mbegu za ng'ombe mwenye njaa hakuna anaetaka licha ya binaadam "mwenye njaa" tena ya "kufa".

Licha ya mwenye njaa tu kuwa hawamtaki,na mimi nnakuongezea upunguani juu yake, ni mwehu yupi ataekubali hayo? Wewe hata ukija kwetu kuposa hakubaliki maana tunatazama vigezo vya Kiislam:

Kwa uzuri wao - Jee unao?
Kwa mali zao - Jee unazo?
Kw nasaba zao - Jee una nasaba njema?
Kwa ucha Mungu wao - Jee, ni mcha Mungu au mcha sheitan?

Hapo sasa!

Ijumaa kareem FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom