Mbegu za Kiume za Beckham Kununuliwa kwa Euro Milioni 75

I think tofauti ni kuwa this's considered legal, (by human standards)?!
But I wonder, mtoto akikuwa na kutaka kujua baba yake ni nani kama atakuwa ana haki ya
Kuambiwa!

ni obvious atakuchukia tu ulietoa mbegu...
 
FaizaFoxy yupo sahihi Mkuu MziziMkavu.
Wazazi wakiwa wasomi, mtoto huwa na akili vile vile.

Mzazi akiwa na kipaji, mtoto vile vile anapata kipaji.

Kipaji siyo automatic, lakini good DNA inakusaidia sana.

Ndiyo maana watu wengi wanaotaka kununua mbegu, wanachagua za maprofesa au watu wenye kipaji.

Mtoto wa kwanza wa Beckham, Brooklyn, ameshaanza kucheza mpira Arsenal Youth Team na Arsenal Under 18.
Coincidence? I don't think so.

Hamna uchawi wala uwanga.
Simple genetics.

Soma zaidi chini:

Scientists at Kings College, London, have found the first gene which appears to be directly linked to intelligence

A gene which may make people more intelligent has been discovered by scientists.

Researchers have found that teenagers who had a highly functioning NPTN gene performed better in intelligence tests.

It is thought the NPTN gene indirectly affects how the brain cells communicate and may control the formation of the cerebral cortex, the outermost layer of the human brain, also known as ‘grey matter.'

source:telegraph.co.uk

Up to 40 per cent of a child's intelligence is passed down from the parents, according to a new study.

They found that between 20 and 40 per cent of the variation in childhood IQ is due to genetic factors, less than the 40 to 50 per cent suggested by previous research.

Dr Benyamin and his colleagues analysed DNA samples from 18,000 children aged six to 18 from Australia, the Netherlands, the UK and the U.S, along with their IQ scores.

source:dailymail.co.uk

Human genetics can play a major role in determining an athlete's potential. Genetic information is passed from parent to child and is stored within human cells in the form of DNA (deoxyribonucleic acid).

An individual's DNA influences attributes such as height and weight and can help to determine if an individual has a predisposition towards athleticism.

Genes play a major role in body type and athletic ability, but an athlete must also work hard to realize his/her potential.

source:sportsnscience.utah.edu

Teh! teh! teh! hii inaelezea kwanini wanawake matajiri wa Bongo wapo kwenye foleni ya kusaka mbegu za Kikenya. Kama wale wa Rombo.
Mwanamke huangalia mambo mengi sana kabla ya kufanya maamuzi nani wa kuzaa naye. Hii itatufanya Wakenya tuwe makini sana tukija kwa shughuli za kikazi Bongo maana muda si mrefu tutabakwa na wanawake on gunpoint. kui
kadoda11
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui

Dah, MK254. Mnapenda sifa sana :)
 
Last edited by a moderator:
Zee lenu nina akiba ya kutosha. Nlijiwelkea akiba yangu ya uzeeni Kitambo ili muda ukifika nsipate shida. Waje ntawapa kwa bei nzuri tu, na watasuuzika roho wakitumia malighafi ya mzee. Made in soko matola kwa mwakitombile
 
Teh! teh! teh! hii inaelezea kwanini wanawake matajiri wa Bongo wapo kwenye foleni ya kusaka mbegu za Kikenya. Kama wale wa Rombo.
Mwanamke huangalia mambo mengi sana kabla ya kufanya maamuzi nani wa kuzaa naye. Hii itatufanya Wakenya tuwe makini sana tukija kwa shughuli za kikazi Bongo maana muda si mrefu tutabakwa na wanawake on gunpoint. kui
kadoda11

MK254 eti at gunpoint!,....lol!

Mnajifananisha na wenye blue eyes sasa!, ombeni Wa Nigeria wasijue hilo watakuja na speed ya ajabu na sijui kama Kenyans mnafikia ujanja wao na shughuli yao....lol!
 
kujidangamya nayo,
embu kwanza kanusha hili:

Wanaume Kenya Waamua Kuuza wake zao kwa Wazungu ili Kupata pesa za Kukidhi Maisha.

Nchini Kenya, kumetokea kioja ambapo wanaume wengi wameamua kuanza kujihusisha na shughuli ya kuuza WAKE zao kwa watalii wanaotoka mataifa mbalimbali ili kujipatia PESA za kukidhi haja za Kimaisha.

Ikiripotiwa kupitia Luninga ya Citizen TV.

Imesemekana kwamba wanaume hao hulazimisha wake zao kuchukuliwa na watalii ambao wengi wao ni jamii ya wazungu, wachina na wahindi ili tu kuingizia familia kipato.

Watalii hao hupenda sana kuulizia wanawake ambao ni rahisi kudanganyika kwamba wataolewa.

From The Source:
Diani being a tourist hub receives numerous foreign tourists from Western countries who visit the beach that was recently voted the best beach in Africa.

However, some of the male tourists who visit the place do not want to go back home empty handed but also with African women.

This is where money and wives change hands between the male tourists and the local beach attendants.

The tourist would request a beach trader to find him a Kenyan woman whom he would wish to marry.

Greed for money compels the beach trader to ask his wife to be married by the tourist but connives with her that they would later divorce after getting rich then they would be a couple again.

Mwinyi Almasi, who now does the house chores after selling his wife, met a German tourist who wanted a Kenyan wife and after agreeing on searching for one for him, he returned home and made a deal with his wife.

The wife now became his ‘sister' and they concurred that she gets married to the German tourist and after flying abroad and getting the German citizenship, she would find a German woman for him who would marry him and after a while divorce and get back together with her in Germany.
Bad morals affecting tourism sector.........
 
MK254 eti at gunpoint!,....lol!

Mnajifananisha na wenye blue eyes sasa!, ombeni Wa Nigeria wasijue hilo watakuja na speed ya ajabu na sijui kama Kenyans mnafikia ujanja wao na shughuli yao....lol!

kui Wa Nigeria washakoma zamani, we are the new kid on the block. Hebu nenda kwenye forums zao za Nairaland.com uone jinsi Wakenya tunawazingua kule.

Afrika ni ya Mkenya sasa, kwanza muungano huu baina ya EAC, SADC na COMESA yote utaona vile tutachangamkia fursa ya kwenda kuuza mitura hadi Liberia.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom