Mbegu ya mipapai ya kisasa inapatikana wapi?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Ninataka mbegu na siyo miche.

Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe.

Ni wapi ninakoweza kuipata? Nipo Geita.
 
Ninataka mbegu na siyo miche.
Uko sahihi1
1699953527086.jpeg

The flowers and fruits of male, female, and hermaphrodite papaya. (A) Female flowers; (B) hermaphrodite flowers; (C) male flowers; (D) female fruit; (E) hermaphrodite fruit; (F) male tree.
 
Uko sahihi1
View attachment 2813394

The flowers and fruits of male, female, and hermaphrodite papaya. (A) Female flowers; (B) hermaphrodite flowers; (C) male flowers; (D) female fruit; (E) hermaphrodite fruit; (F) male tree.
Inakera sana! Nifanyeje mkuu?

Nilijua kuwa baada ya miezi sita, ningekuwa na mipapai mingi mpaka ya kugawa kwa "msjirani", matokeo yake yamekuwa kinyume chake!

Nifanyeje? Inawezekana kuibadilisha iwe mijike? Ni wapi naweza kupata mbegu ambayo ni ya mijike pekee?
 
Waulize SUA, tafuta contacts zao kutoka kwenye website yao.
 
Mbegu zimejaa tele maduka ya bidhaa za kilimo
Tatizo ni kujua kuziotesha na muda wa kusubiria ziote kwani zinachukua kwenye wiki mbili kuota na hadi zifae kuhamishia shamba ni mwezi na zaidi au niseme jumla ya miezi miwili hivi
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom