Mbatia kidedea NCCR

Wewe lazima utakuwa msukule kwani mchawi hutambuliwa na mchawi Naona Nyumbu mmeamka sasa kumtetea Simba wenu mbowe

sio kila mtu ana chama we akili ndogo sisi tuangalia tanzania kwanza,unatokwa na povu mmemuhamisha mkurugenzi wa arusha kwa sababu wa lumumba wote wachumia tumbo kawanyima ten percent
 
Uchaguzi ukiitishwa CDM Mzimu wa Chacha wangwe utahamia Ukumbi wa Uchaguzi kasheshe ni wakati wa kutangazwa mshindi kwani maajabu yataibuka Wajumbe watafanya ndivyo sivyo hata wapewe Rushwa vipi watakula pesa watafanya Yao Ndio Maana Uchaguzi CDM ni ndoto ya mchana kwa Usingizi wa kwenye daladala chezea Nyumbu wee wakiamua kukimbia simba huwa hawakamati
 
Usariti upi ? Mbowe anapewa pesa na wana ccm na pesa kazitafuna mwenyewe iweje yeye si msariti ama kweli Nyumbu wapo wengi sana Simba ( Mbowe) atawatawala milele hakuna nyumbu kumsogelea Simba
Elimu haina Mwisho, ni vema ukarejea darasani kwani elimu ina faida nyingi ikiwemo kujilinda dhidi ya wadudu funza na pia kuweza kuwasiliana na watu mbali mbali kwa ufasaha zaidi! Bahati mbaya unachokiandika tunashindwa kukielewa unamaanisha nini... neno MSARITI ni nini? inahusiana na zile 250Millioni alizokabidhiwa ZZK pale CRDB? Inauhusiano na zile transactions za dola ambazo ZZK alikuwa anazifanya kule Ujerumani? Inauhusiano na Zile Mpesa alizokuwa anawatumia akina Nyakarungu, Shonza, Mtela, Shibuda et al? au hilo neno linauhusiano na zile kampeni ambazo ZZK alikuwa anamfanyia JK na Kafulila kule Kigoma? ... Ni vigumu sana kusafisha rangi ya ngozi! ZZK hawezi kusafishika hata kwa bleach, JIK, Msasa wala kwa kummenya ngozi ...
 
sio kila mtu ana chama we akili ndogo sisi tuangalia tanzania kwanza,unatokwa na povu mmemuhamisha mkurugenzi wa arusha kwa sababu wa lumumba wote wachumia tumbo kawanyima ten percent

Akili ndogo unazo wee Nyumbu unayetwaliwa na Simba milele
 
Magamba panueni vinywa vyenu sasa,maana angeshinda mtu tofauti na Mbatia humu jf mngesema mpaka kwa kutumia mi.kun.du ili mradi tu kuichokonoa CHADEMA,tunakwambieni hapa Tanzania hakuna chama makini zaidi ya CHADEMA,ninyi mnaweweseka tu na eskarioti wenu zitto. Hapa mmekaa kimya,ila ukija wa CDM na ikaonekana Mbowe moto chini,mtaongea mpaka mipua utabenuka juu. Mwisho,chama pekee chenye kueleweka na kimejipanga vizuri ni CHADEMA kubalini ama kataeni ukweli mnao mioyoni mwenu. MUNGU NIBARIKI MIMI, IBARIKI TANZANIA.MILELE AMINA!
 
Makofila halimi tumbaku. Nilikuwa namaanisha vijana wa Mpanda. Hata hivyo, biashara zake ni ndogo-ndogo tu, pia sidhani kama mtu akiwa anamiliki/kufanya biashara ndogo-ndogo kunaweza kumzuia kugombea uongozi ndani ya chama....

kwa nini alimwogopa Mh Kafulila?
 
Hongera Mbatia! Bahati nzuri we si mpizani wa ccm na hata kwa cdm wewe siye. Mlango unabakia wazi kwa cdm 2015.
 
Daaaaa yani Charles Makofila kashindwa? Jamaa ni jembe sana!
Kama wameweza kumzawadia ubunge kwa kazi walizomtuma watashindwa kulinda uenyekiti wake,maanake kule wameshampoteza MM,dhubutu na hapo walaze damu.
Akiingia bungeni anajifanya kuwashupalia kumbe anazuga yote yanakuwa maigizo tu hamna lolote.
Huyu si mtu wa kumwamini hata siku moja,yuko kazini tena kazi maalum.
 
Kafulila hakugombea?
Kati ya kosa watakalofanya NCCR ni endapo wakimpa huyo jamaa uongozi wowote...
 
Back
Top Bottom