Mbatia kama kweli utagomea uteuzi huu nitakuona na wewe bonge la kilaza, hauna uchungu na nchi, kila siku unaimba uzalendo, uzalendo! Uzalendo ndio huu.
Umebahatika kuwa mmoja wa wanaounda tume, maanake viongozi wa chama cha mapinduzi wameona juhudi zako, au mnapenda kupiga kelele majukwaani na kuhitisha maandamano.
Unatakiwa uwe mmoja wa watu watakaotuambia tume imeona nini?
Mkiwaacha peke yao wakija na ripoti msiseme imechakachuliwa sio ambacho wajumbe wamekiona
go! Mbatia go! go! tunataka uweke history katika nchi hii, wewe ndio mzalendo wa kweli katika nji hii.
acha uzuzu usiwe kibaraka wa kukitetea chama chako cha mabwepande kwa upuuzi
Mbatia katoa sababu zake tatu, we umeona moja tu?
elimu imeshuka tangu JK aingie mdarakani kutoka 89% hadi 43.
hali ni mbaya sana uchungu huna kwa vile pesa unazo za lumumba.
Suala la yeye kukataa bado linanipa wasiwasi kwani kwa vile yeye ndio mpambanaji na hili suala kaliibua bungeni
angekubali kuwa kwenye hiyo kamati licha ya makosa yaliyofanywa na Pinda ya kutomtaaarifu mapema
aende ili akaibue hayo madudu apate ushahidi zaidi wa hoja yake bungeni alioianzisha.
Mbatia nakushauri nenda kachape kazi alokupa pinda utaweza kuivua nguo serikali zaidi na kawambwa utapata msumari wa kumpigilia.
Taja ni Tume ngapi zimeishaundwa na ripoti zake zilizokwishawahi kufanyiwa kazi.Mbatia kama kweli utagomea uteuzi huu nitakuona na wewe bonge la kilaza, hauna uchungu na nchi, kila siku unaimba uzalendo, uzalendo! Uzalendo ndio huu. Umebahatika kuwa mmoja wa wanaounda tume, maanake viongozi wa chama cha mapinduzi wameona juhudi zako, au mnapenda kupiga kelele majukwaani na kuhitisha maandamano. Unatakiwa uwe mmoja wa watu watakaotuambia tume imeona nini? Mkiwaacha peke yao wakija na ripoti msiseme imechakachuliwa sio ambacho wajumbe wamekiona go! Mbatia go! go! tunataka uweke history katika nchi hii, wewe ndio mzalendo wa kweli katika nji hii.
Kwanza nikiri kuwa nakubaliana na mchango mkubwa wa Mh Mbatia katika secta ya elimu, bunge lilopita lilifunika hoja yake ya msingi kwa maslahi ya serekali, matokeo ya kidato cha nne yalipotoka wengi tulimkumbuka.
Kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha nne serekali ilitangaza kuunda tume, kwa macho na masikio yangu mwenyewe nilimsikia mbatia akiomba ateuliwe kwenye hiyo tume hata kama hatalipwa chochote, alisema yupo tayari kujitolea kwa ajili ya Watanzania, namshanga kwa unafiki wake baada ya kuteuliwa na Waziri Mkuu ndio anaanza kutoa visingizio.
Mbatia acha unafiki, ulipokuwa unaomba uteuliwe hukuona hizo sababu unazotoa sasa?