Mbasha Asenga wa MwanaHalisi kama umetumwa ni safari ndefu kufika

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
Nilisoma moja ya makala ya Mwanahalisi ya jana, mbasha asenga alijaribu kutetea sana dk slaa kuhusu hizi tuhuma za udini. hata mimi napingana na mtazamo wa wengi kama dk slaa ni mdini licha ya kuwa aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa kanisa yaani katibu.
lkn siamini kama watanzania wakemewe eti wakae kimya na wasijadili swala.
Hoja ya Mbasha eti kwa kuwa dk slaa alikuw mbunge hakuna aliehoji haina mshiko, kwani mbunge anaongoza sehemu ya Bunge, hana mamlaka ya kutumikia taifa zima tofauti na rais, ndio maana hakuna mbunge aliwahi kungolewa kwa maandamano ya umma tofauti na rais.
sasa swala linapokuja rais wa nchi lazima amulikwe kama alivyomulikwa DK slaa. kwa hivyo mbasha usituzime mdomo, tauchie tumjadili kama anavyojadiliwa jk na udini lkn mbasa amebana kimya.
 
umemnukuu vibaya,hiyo ni tabia ya sisiem,kuwahadaha watanzania hasa kipindi cha uchaguzi,na sio Dr.slaa tu hata Prof.lipumba walimjia na hija za ajabu sana ambazo ziliazishwa na mahita kwa kutumwa na sisiem,kuwa cuf chama cha waislamu,sijui magaidi,wameagiza makontena ya visu ili wamwage damu na mambo mengine mengi,na hatimaye sisiem ikashinda,@muhogomchungu nenda kawaambie sisiem waache kutumia hizo giriba mbaya hasa kipindi cha uchaguzi,demokrasia ya kweli aipo hivyo.
 
nilisoma moja ya makala ya mwanahalisi ya jana, mbasha asenga alijaribu kutetea sana dk slaa kuhusu hizi tuhuma za udini. Hata mimi napingana na mtazamo wa wengi kama dk slaa ni mdini licha ya kuwa aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa kanisa yaani katibu.
Lkn siamini kama watanzania wakemewe eti wakae kimya na wasijadili swala.
Hoja ya mbasha eti kwa kuwa dk slaa alikuw mbunge hakuna aliehoji haina mshiko, kwani mbunge anaongoza sehemu ya bunge, hana mamlaka ya kutumikia taifa zima tofauti na rais, ndio maana hakuna mbunge aliwahi kungolewa kwa maandamano ya umma tofauti na rais.
Sasa swala linapokuja rais wa nchi lazima amulikwe kama alivyomulikwa dk slaa. Kwa hivyo mbasha usituzime mdomo, tauchie tumjadili kama anavyojadiliwa jk na udini lkn mbasa amebana kimya.

crap.
 
yeye alijaribu kuongelea upotoshaji wenu.ukweli utabaki pale pale kwamba Dr.Slaa si mdini bali ana dini kama wengine.
 
Kuna baadhi ya watanzania wamejaliwa au kwa maneno mengine wanavipaji vya upotoshaji kama muhogomchungu,unaleta mada ambayo aina tija hata kidogo,kila mtu anadini yake,msijaribu kupotosha umma kwa vitu vya ajabu.
 
ndio maana hakuna mbunge aliwahi kungolewa kwa maandamano ya umma tofauti na rais.

Kumbe hata muhogomchungu unatambua umuhimu wa maandamano, sasa huyu JK tutamtoa kwa maandamano ya nchi nzima tukianzia ya TUCTA then ya Chadema, anaona nchi haitawaliki basi atoke atupishe wenye nia ya dhati nchi hii...

Slaa ataendelea kuwapasua vichwa mpaka mwisho...
 
nilisoma moja ya makala ya mwanahalisi ya jana, mbasha asenga alijaribu kutetea sana dk slaa kuhusu hizi tuhuma za udini. Hata mimi napingana na mtazamo wa wengi kama dk slaa ni mdini licha ya kuwa aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa kanisa yaani katibu.
Lkn siamini kama watanzania wakemewe eti wakae kimya na wasijadili swala.
Hoja ya mbasha eti kwa kuwa dk slaa alikuw mbunge hakuna aliehoji haina mshiko, kwani mbunge anaongoza sehemu ya bunge, hana mamlaka ya kutumikia taifa zima tofauti na rais, ndio maana hakuna mbunge aliwahi kungolewa kwa maandamano ya umma tofauti na rais.
Sasa swala linapokuja rais wa nchi lazima amulikwe kama alivyomulikwa dk slaa. Kwa hivyo mbasha usituzime mdomo, tauchie tumjadili kama anavyojadiliwa jk na udini lkn mbasa amebana kimya.

naona umekunywa maji ya bendera ya mafisadi wamekupa akili mgando.
 
Jamani hili jambo tunalopanda la udini likimea si aliyelipanda wala asiyelijua atakua salama...tuna busara bado katika kuliangalia hili kwa mapana yake....
 
Muhogomchungu kutokana na thread yako unanifanya nikutizame ktk two perspectives ambapo naamini moja itakuwa sahihi. Kwanza, ama una fikra finyu sana kiasi kwamba umeshindwa kuelewa makala ya Asenga iliyoandikwa kwa lugha rahisi sana kwa yeyote mwenye akili ya kawaida kabisa kuelewa.
Au unatumiwa na mafisadi kujaribu kuupotosha umma kwa makusudi. Be care, coz nguvu ya umma ni kubwa kuliko nguvu ya mafisadi wanaokufuga.
 
Nilisoma moja ya makala ya Mwanahalisi ya jana, mbasha asenga alijaribu kutetea sana dk slaa kuhusu hizi tuhuma za udini. hata mimi napingana na mtazamo wa wengi kama dk slaa ni mdini licha ya kuwa aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa kanisa yaani katibu.
lkn siamini kama watanzania wakemewe eti wakae kimya na wasijadili swala.
Hoja ya Mbasha eti kwa kuwa dk slaa alikuw mbunge hakuna aliehoji haina mshiko, kwani mbunge anaongoza sehemu ya Bunge, hana mamlaka ya kutumikia taifa zima tofauti na rais, ndio maana hakuna mbunge aliwahi kungolewa kwa maandamano ya umma tofauti na rais.
sasa swala linapokuja rais wa nchi lazima amulikwe kama alivyomulikwa DK slaa. kwa hivyo mbasha usituzime mdomo, tauchie tumjadili kama anavyojadiliwa jk na udini lkn mbasa amebana kimya.

Crap.....na wewe kama umetumwa ni safari ndefu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom