Mbarikiwe wote mnaopendana na wake zenu

Habari.

Mbarikiwe wote mnaopendana na wake zenu.
Asante sana
4a2b381483c62fee60fb0142ce2aa3e8.jpg
 
Jana nakutana na demu wangu Amanda kuliwa
Then ananambia nawahi job.

Elewa neno nawahi job.

Mapenzi haya
 
Ndoa si burudani wala lele mama.
Dogo kaoa..akiwa na uhakika wa kupata angalau bao moja kila siku🙂🙂
Matokeo yake anajuta,bora asingeoa.
Tatizo watu waningia kwenye ndoa wakiwa na matarajio makubwa sana . Ndoa ni status tu ,
Wanaume by default ni polygamist, sasa ukiingia kwenye ndoa halafu ukabafili default mode hilo ni kosa lako mwanaume .
Polygamist hawezi kulilia papuchi
 
Kabisa...lakini hakuoa
Maria Magdalena yule aliemfuta Yesu miguu kwa machozi na kumfuta miguu kwa kutumia nywele zake na kumpaka mafuta na kumpiga mabusu ya miguuni inasemekana kuna hidden story maana Maria Magdalena ndie wa kwanza pia kuona Jiwe kaburini limeviringishwa mbali na Mwili wa Yesu haupo.. kulikua na mahusiano ya Siri kati ya Yesu na Maria Magdalena

Nb: Maria Magdalena alikua kahaba kabla hajawa Mfuasi wa Yesu
 
Aisee ukipata upendo kwa mke au wake zako kwa dhati na ukaona kabisa hapa napendwa huwa kuna faraja kubwa sana kwa kweli.

Nashkuru sana kiongozi nawe ubarikiwe pia.
 
Maria Magdalena yule aliemfuta Yesu miguu kwa machozi na kumfuta miguu kwa kutumia nywele zake na kumpaka mafuta na kumpiga mabusu ya miguuni inasemekana kuna hidden story maana Maria Magdalena ndie wa kwanza pia kuona Jiwe kaburini limeviringishwa mbali na Mwili wa Yesu haupo.. kulikua na mahusiano ya Siri kati ya Yesu na Maria Magdalena

Nb: Maria Magdalena alikua kahaba kabla hajawa Mfuasi wa Yesu

Hivi mkuu, kwa akili zako timamu bado unaamini simulizi ya Yesu ni kweli? Kwamba alizaliwa, akatenda miujiza, akateswa, akauawa, akazikwa na akafufuka!

Unaamini kwamba hiyo hadithi ni tukio halisi????
 
Hivi mkuu, kwa akili zako timamu bado unaamini simulizi ya Yesu ni kweli? Kwamba alizaliwa, akatenda miujiza, akateswa, akauawa, akazikwa na akafufuka!

Unaamini kwamba hiyo hadithi ni tukio halisi????
Sijui labda umuulize Poker
 
Back
Top Bottom