Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

nguzo zina ujazo tofauti,sawa urefu futi hizo je ujazo unataka upi? ndio maana nikasema tuwasiliane ili tueleweshane vizuri.na hii ni biashara ya muda mrefu hivyo wizi haupo kila kitu kimesajiliwa na risiti ya kupita nazo barabarani utapewa mkuu.

Mkuu, bila ya shaka hizi zitakuwa ni za urefu wa mita 9 na 11. Vipi kuhusu specifications za diameters(top diameter na bottom diameter)?

Si utaje bei za diameters zote. Au unataka umpatajie bei moja halafu akuulize na diameter nyingine!!! Actually nyinyi wafanyabiashara mnatakiwa kujiendesha kisasa na kuwa na website ambayo itatoa taarifa zote zitakazomsave mtu safari ya kuja kuulizia dukani au kupiga simu. SIku hizi mifoleni watu hawana muda wa kuja madukani kufanya window shopping.

Inawezekana mdau ni dalali tuu.

MH.nguzo za umeme na bei yake
1.mita 13 sh:300,000
2.mita 12 sh:280,000
3.mita 10 na mita 9 ni sh:200,000
na oda pia tunapokea!.

mheshimiwa sisi sio madalali....hii ni ofisi na inashughulika na maswala ya ujenzi!tunavuna kutoka kwenye msitu wa serikali wa Mafinga Iringa na pia misitu ya watu binafsi Mfindi!.kwahiyo huna haja ya kuhisi utaibiwa au kuna udalali unafanyika.....hapa unaongea na ofisi.

Nitakutafuta muda ukifika. Niko kwenye mchakato wa kuweka umeme. Ungekuwa umetoa tangazo mapema ningekuungisha kwenye mbao

KWA WATU WOTE WANAOHITAJI VIFAA VYA UJENZI AMBAVYO NI:
1.MBAO ZA AINA ZOTE....TREATEDTIMBER MBAO NGUMU NA SYPLUS
2.HARDWOOD YAANI MBAONGUMU AMBAZO NI...MNINGA,MKONGO,MTONDOO,MLINGOTI
3.GYPSUM KUTOKA THILAND,CHINA,TANZANIA
4.SINGBOARD,MISUMALI,RANGI,CEMENT ZA AINA ZOTE!
KWANINI NYUMBA YAKO ISIONWE NA MJUKUU WAKO?KWANINI UISHI KWENYE NYUMBA YENYE NYUFA?KWANINI ULALE NA MWAMVULI NDANI?KWANINI USIFURAHIE UJENZI WAKO?WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO ILI UWE MFANO KWA WENGINE....
0764600238
0716801591
0715292319
0653591232
TUNAPATIKANA BUGURUNI (MANDELA ROAD)UKIFIKA ULIZA MAMA LEAH.
KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI SANA.

hizi ni nini jamani?? Mimi nimepotea kbs

2 by 4 kwa mita moja shilingi 2300,2 by 2 mita moja shilingi 1150.2 by 6 kwa mita tunauza 3300.FISHERBOARD 12000 kwa piece moja ya nane,moja ya kumi shilingi 16000 kwa piece.

Mbene bei zako ziko juu sana juzi nimenunua mbao ya Mninga tena ule uliokauka 2 by 6 kwa Tsh 26,000 Duka Mohamed Hamis Majaliwa Mob no. 0755 827280 jamani msiingie vichwa vichwa fanyeni kwanza window shopping katika mambo haya ya ujenzi....

Kuongezea Duka lipo Manzese...mpigie atakuelekeza...

KWA WATU WOTE WANAOHITAJI VIFAA VYA UJENZI AMBAVYO NI:
1.MBAO ZA AINA ZOTE....TREATEDTIMBER MBAO NGUMU NA SYPLUS
2.HARDWOOD YAANI MBAONGUMU AMBAZO NI...MNINGA,MKONGO,MTONDOO,MLINGOTI
3.GYPSUM KUTOKA THILAND,CHINA,TANZANIA
4.SINGBOARD,MISUMALI,RANGI,CEMENT ZA AINA ZOTE!
KWANINI NYUMBA YAKO ISIONWE NA MJUKUU WAKO?KWANINI UISHI KWENYE NYUMBA YENYE NYUFA?KWANINI ULALE NA MWAMVULI NDANI?KWANINI USIFURAHIE UJENZI WAKO?WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO ILI UWE MFANO KWA WENGINE....
0764600238
0716801591
0715292319
0653591232
TUNAPATIKANA BUGURUNI (MANDELA ROAD)UKIFIKA ULIZA MAMA LEAH.
KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI SANA.

Habari yako niliona hili tangazo kitambo kidogo naomba unipe bei ya mbao ngumu Mkongo nadhani ndio Mkola kwa jina lingine nahitaji kwa vipimo vifuatavyo kwa bei ya futi 1x8 2x8 2x6 na 4x8 asante

mimi nina duka la vifaa vya ujenzi maeneo ya MachimboKitunda,ila mtaji wangu mdogo kama kuna uwezekano unisaidie baadhi ya vifaa niwe nauza faida nabakia nayo hela yako narudisha kutokana na tutakavyoelewana pia unaweza kuja kuangalia eneo la biashara yangu kwanza vitu vyenyewe ni kama mbao za cepras,size zote,ciling boad,gypsum kwa kiasi tu kwanza uone kwanza na jinsi nitakavyoweza kurudusha hela yako na kama kutakkuwa na dhamana yeyote utaniambia

Wakuu bado tunaendelea kupokea ODA zenu! Kumbuka, hatuuzi magogo. Ni mbao zenye ukubwa(size) wa
(i) Inch 1 kwa inch 8 (1*8), urefu wa futi 10 (Mita 3)
(ii) Inch 2 kwa inch 6 (2*6), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iii) Inch 2 kwa inch 5 (2*5), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iv) Inch 1 kwa inch 5 (1*5), urefu wa futi 10 (Mita 3), n.k

Mbao ni za aina mbalimbali, kulingana na mahitaji yako!

NB: Kwa wale msiopenda usumbufu wa kusafiri hadi kufika katika ofisi yetu, wilaya ya Urambo, mkoa wa Tabora. Mnaweza kututumia barua pepe zenu (e-mail), kupitia namba zetu za simu ama barua pepe zetu;

Simu: 0784 324 102 / 0755 732 981 / 0784 667 480

Barua pepe: info@mihambos.com / sales@mihambos.com

Na tutakutumia MKATABA WA MAUZO/ MANUNUZI mara moja, ili taratibu nyinginezo ziweze kuendelea!

Karibuni sana.

Back
Top Bottom