Mbabe katika mapenzi

BRO LEE

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
826
600
Habari wana JF. Naomba kuelimishwa m2 anaposema/lalamika kwamba mwenzie ni mbabe katika mapenzi/mahusiano yao anakuwa anamaanisha kitugani.

Niilimsikia dada mmoja akimweleza mwenzie kwa huzuni sana na akawa anasema anafikiria kuachana na huyo mchumba wake.

Nawasilisha.
 
Everything goes according to matakwa yake tu, na mara nyingi mtu wa hivo huwa anajiona kuwa kila kitu akijua yeye!! Na hata hicho anachokijua(even if yuko wrong) basi hulazimisha iwe hivyo tu, na mara nyiingi hu-deny ideas/experiences za upande wa pili!!!
 
KM ndivyo unafikiri huyo dada atakuwa amefanya uamuzi mzuri kuachana nae?
 
kwa vile ni mchumba tu anaweza kuachana naye kuepuka usumbufu siku zijazo hasa kama kesha-raise hilo tatizo na mwenzake akashindwa kujirekebisha
 
Ndo wale akisema yeye ndo final,akitakacho ndo kiwe,analazimisha mambo,hoja,maamuzi kutokana na interest zake.
 
Raha ya mapnz ni kuckilizan na kushea idear,ila mbabe hana mda wa kumckiliza mwenzie hasa hasa huwa ndio mwamuzi wa kila jambo hata km anakosea,na hapo mdada yuko sahihi kumtosa huyo mwanaume!
 
ni wale u wakisema wao ni final hata kama wanakosea hakuna mjadala pia hawataki kusemwa wanajiona wapo sawa muda wote wanashida hawa watu jamn loooh!
 
Back
Top Bottom