MBA za ULAYA duni!!

mwanamasala

JF-Expert Member
Jun 20, 2009
248
12
Chuo kikuu chochote cha Ulaya MBA zake ni ghali sana.Nchini Uingereza hasa Lonson gharama ya tuition ni kama million 100 za Tz kwenye top MBA school hadi sh million 22 kwa mwaka kwenye chuo kikuu cha kawaida.

Kuna vyuo vidogo vidogo ambavyo vimepewa accreditation na University of Wales Institute ya Cardiff.Elimu ya hivi vyuo ni chini sana wazawa hawawezi kuzisoma MBA hizi.

Lakini Bongo mtu akija ana MBA toka Uingereza waajiri wanaamini sana.Ndio maana tunafeli kupata watu wanaoweza kubuni biashara,entrepreneurship na kucreate wealth.Sana sana mtu atakuwa meneja wa benki !

Hivyo ni mara mia mtu asomwe MBA UDSM au Mzumbe ingawa nasita kidogo kutokana na malecturer Mzumbe kuwa na fake Phds.Kama mtu una MBA ya hivi vyuo unaweza kujitetea!Ufisadi umtufanya tutafute kila aina ya elimu kujipandisha juu .
 
Kama unataka kusoma MBA makini sana nenda Marekani: kuna vyuo vizuri sana State universities zote ni bomba pamoja na zile top kama Harvard, Columbia, Yale etc.

Eligibility: GMAT at least 600 score
TOEFL: at least 550 score
Bachelors degree: 2nd or 1st class

Kama unapata hivyo vigezo unaweza kuingia chuo chochote, pia waweza kupata scholarship hapo chuoni unalipa kama mmarekani na gharama zake ni kama $2000-4000.00 kwa semester kama ni mtu wa kuja gharama zake ni $3000-8000.00 kwa semester.

Good luck
 
Do you have MBA in the first place? where did you do it from? You've mentioned Ulaya only and what about India,China,Malaysia,Japan,South Africa,Australia?
 
Chuo kikuu chochote cha Ulaya MBA zake ni ghali sana.Nchini Uingereza hasa Lonson gharama ya tuition ni kama million 100 za Tz kwenye top MBA school hadi sh million 22 kwa mwaka kwenye chuo kikuu cha kawaida.

Kuna vyuo vidogo vidogo ambavyo vimepewa accreditation na University of Wales Institute ya Cardiff.Elimu ya hivi vyuo ni chini sana wazawa hawawezi kuzisoma MBA hizi.

Lakini Bongo mtu akija ana MBA toka Uingereza waajiri wanaamini sana.Ndio maana tunafeli kupata watu wanaoweza kubuni biashara,entrepreneurship na kucreate wealth.Sana sana mtu atakuwa meneja wa benki !

Hivyo ni mara mia mtu asomwe MBA UDSM au Mzumbe ingawa nasita kidogo kutokana na malecturer Mzumbe kuwa na fake Phds.Kama mtu una MBA ya hivi vyuo unaweza kujitetea!Ufisadi umtufanya tutafute kila aina
ya elimu kujipandisha juu .

Mkuu tupe vigezo ulivyotumia kufikia hilo hitimisho au ndio story za vijiweni nini?
 
Do you have MBA in the first place? where did you do it from? You've mentioned Ulaya only and what about India,China,Malaysia,Japan,South Africa,Australia?

Du mzee umetaja za india, nina subordinates wangu wawili ni products za India (wana B.Com), mmmhh wakati mwingine huwa najiuliza vyeti walivyokuja navyo ni vyao au wamenunua, kichwani hamna kitu kabisa. Uelewa wao wa mambo ni mdogo mno, kitu kidogo unamfindisha mara zaidi ya kumi!!!!!!!!!!!!
 
Mazee umenimaliza hapo, yaani kuelewa shida na kusahau ni haraka.
Hii inaweza kuwa ni wa tu, sio shule.....
 
Well
Shule za Kitanzania ni kufaulu Mitihani na siyo kutafuta knowledge !
 
Back
Top Bottom