Leo timu ya chadema imetua mafinga wamezungumza mambo mbalimbali kubwa zaidi ni ufiaadi unaofanywa kwenye msitu wa saohill ,kwa sasa viwanda vingi vidogo vidogo vimesimamisha uzalishaji kwa sababu mgao wa uvunaji wa magogo walio pewa ulikua mdogo sana kwa sababu sehemu kubwa ya mgao walipewa viongozi wa serekali mawaziri na wabunge na wao kwakua hawana viwanda wameuza migao Yao kwa wafanya biashara wenye uwezo kwa mfano Sirili Chami alipewa cbm za magogo 1800 na wao kuuza kila cbm 1 kwa 10000 kwa hesabu hiyo ameweza kujipatia tsh 18000000 bila hata kufika mafinga.
Baada ya mkutano chadema wakaanza kuuza card kila card 1 kwa sh 1500 zika gombewa kama karanga .
Moto ulio washwa hapa simchezo
Baada ya mkutano chadema wakaanza kuuza card kila card 1 kwa sh 1500 zika gombewa kama karanga .
Moto ulio washwa hapa simchezo