Maziwa ya mama huharibu dawa?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,550
1,422
Habari wakuu,naomba nisiwachoshe.
Hivi maziwa ya mama nanaweza kuathiri ufanisi/utendaji kazi wa dawa kwa mtoto? Yaani kama tunavoshauriwa kuwa hutakiwi kunywa maziwa pale tu punde umalizapo kumeza/kunywa dawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom