Maziko ya babu yake mwanajf sipo

Hatuhitaji kujua nani ni nani JF... im sure huko uraiani tunakutana na tunajuana vizuri tu lol.
Kweli..umdhaniae ndiye siye... sura ya uanaharakati JF siyo sura halisi kwenye maisha...

Kweli dadaangu...Siri Sirini!
 
PJ, pamoja na kwamba msiba hauna mwaliko, na pia hauna shukrani kwa kufuka au kutofika, bado unastahili pongezi kwa juhudi zako binafsi za kwenda kumfariji SIPO na ndugu wa familia yake. Hakika umefanya jambo jema, Mungu akuongezee moyo huo wa upendo na kujali. AMEN!
 
Ubarikiwe sana PJ. Asante sana kwa kutuwakilisha. Umetudhihirishia kwamba inawezekana kusaidiana hata bila kufahamiana kwa sura, ili mradi ni mwanaJF. JF ni familia tosha!
PJ, Mungu abariki mawazo, maneno na matendo yako.
 
Nimefurahishwa sana na moyo wa upendo aliouonyesha PJ. Inafurahisha kuona kwamba JF imefanikiwa kutuunganisha kwa kiasi hiki, ingawa wengi hatufahamiani. Naamini itafika siku wanaharakati wote tutafahamiana, kwa kuwa tuna azma moja - ya kuifanya Tanzania iwe mahali pazuri zaidi pa kuishi.
 
Dah hongera sana PJ kwa kutuwakilisha umeonyesha mfano mzuri na wa kuigwa.
 
Dah hongera sana PJ kwa kutuwakilisha umeonyesha mfano mzuri na wa kuigwa.

Fanya ya KiJF zaid basi Kiongozi!

Thanx alot Fidel180.Nawashukuru kwa kunipa moyo, nimeamini kuwa kumbe together we can move mountains here!...BBlessed!
 
Thanx alot Fidel180.Nawashukuru kwa kunipa moyo, nimeamini kuwa kumbe together we can move mountains here!...BBlessed!

Kweli mkuu tupo pamoja na sasa as JF tunataka tuget tugedha mbugani as JF memba karibu mpwa.
 
PJ napenda kutoa shukrani zangu kwa kuniwakilisha na kuiwakilisha JF yote. Hakika umeonyesha moyo wa uzalendo. Nasi tunaahidi kufuata nyayo zako.
 
Hadi najipanga kuondoka eneo hilo, kwa hakika sijafanikiwa kumfahamu Mwanaharakati SIPO, japo nimesalimiana na watu kadha MBAPO HUENDA MMOJAWAPO NDIYE. Anyway, labda ndiyo raha/Karaha ya JF!

Lakini naamini nimetimiza wajibu wangu kama MwanaJF, wa KUWAWAKILISHA, ipasavyo, na nadhani wanaJF mtanisupport na kunipa BIG-UP kwa kazi hiyo!.

NAWASASILISHA .
__________________

ila hapo juu umeniacha hoi kidogo kumbe mpaka unaondoka eneo la tukio hamjafahamiana

lakini umetenda lililojema zaidi
 
Nimejisikia raha saana, Utadhani mimi ndo mfiwa!
PJ endelea na moyo huo wa upendo, Mungu atakubariki, lakini hii yote ni kupitia JF.
 
PJ napenda kutoa shukrani zangu kwa kuniwakilisha na kuiwakilisha JF yote. Hakika umeonyesha moyo wa uzalendo. Nasi tunaahidi kufuata nyayo zako.

Si Utani, PJ umeonyesha utu wa kustahili kutunukiwa nishani ya UPENDO. Be blessed cousin. Nikija Arusha ntakutafuta, nadhani tunaweza chat mawili matatu pale Mrina baa huku tukikandamiza Serengeti na trupa.
 
PJ kwa hakika nimeguswa sana na kitendo ulichofanya,nachoweza kusema ni kwamba Mungu akubariki sana na akuzidishie UPENDO kwa moyo uliounyesha.Be blessed mkuu.
 
Si Utani, PJ umeonyesha utu wa kustahili kutunukiwa nishani ya UPENDO. Be blessed cousin. Nikija Arusha ntakutafuta, nadhani tunaweza chat mawili matatu pale Mrina baa huku tukikandamiza Serengeti na trupa.

Thanx alot Xpin...

Mi niliona kama vile ni kitu cha kawaida, but it has meant alot to the JF public...!

Karibu sana A-town, mi nipo kama kawa...tuwasiliane Mkuu!
 
Thanx alot Xpin...

Mi niliona kama vile ni kitu cha kawaida, but it has meant alot to the JF public...!

Karibu sana A-town, mi nipo kama kawa...tuwasiliane Mkuu!

I definetely will. Nawe ukikosea njia siku moja ukaja Dar usisite kunitafuta mimi na wapwa zangu, I am sure utapata kampani ambayo hutaisahau. Always pamoja.
 
I definetely will. Nawe ukikosea njia siku moja ukaja Dar usisite kunitafuta mimi na wapwa zangu, I am sure utapata kampani ambayo hutaisahau. Always pamoja.

Binamu,PJ amefanya kitendo ambacho kimetugusa wote humu JF,nadhani tungefanya mpango wa kumpongeza zaidi,au unalionaje hilo?
 
I definetely will. Nawe ukikosea njia siku moja ukaja Dar usisite kunitafuta mimi na wapwa zangu, I am sure utapata kampani ambayo hutaisahau. Always pamoja.
hahaaa, kama kawaida.
ujue kwasasa JF ni kama familia kubwa iliyotapakaa kila kona. wazo langu ni kwamba hata wamikoani wajikusanye na kufanya get tugeza zao itasaidia kufahamiana nje ya JF kama wapwa na mabinamu wa hapa dar ndani ya zero pub, chawote bar na kwingineko utatukuta tu!.
 
Binamu,PJ amefanya kitendo ambacho kimetugusa wote humu JF,nadhani tungefanya mpango wa kumpongeza zaidi,au unalionaje hilo?

Yeah! Anastahili kupewa tuzo. Ifunguliwe thread kwa heshima yake watu wachangie mawazo kuona tuzo gani ingemfaa. Angekuwa Dar, mabinamu na wapwa tungetengeneza ka get tugedha flani kwa heshima yake.
 
Kweli mkuu tupo pamoja na sasa as JF tunataka tuget tugedha mbugani as JF memba karibu mpwa.

Du ningekuwa Dar ni lazima tungekuwa PAMOKO!

Nimesoma ile thread ya GET 2GETHA MBUGANI, nimefurahi sana kujua kuwa kumbe mnajuana vizuri huko Dar, and you can do social gatherings!

Lakini hata hivyo, tayari nimeshaanza kutafutwa na members wa hapa A-town ambapo kabla ya tukio hili nilikuwa sijafanikiwa kujua kama kuna mwanaJF yeyote huku!..

Nadhani huku pia tukifanikiwa tutaanzisha vikao vya live!

Kikubwa zaidi ni kwamba jana tu, baada ya kuposti hii thread nikitokea huko msibani, nilipata PM toka kwa Mwanaharakati wa huko Dar aitwaye NGULI, tukabadilishana namba za simu, na mra akanipigia na tukaongea kwa wastani wadakika 7 hv, na kila mmoja alifurahi sana.

Huwa sometimes naona kama vile haya mambo ya JF ni ya ki'alien"...lakini tangu jana nimejua kuwa its real life!

PAMOJA SANA.
 
Back
Top Bottom