Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,543
- 7,168
Iyo ni clip ya kusadikika ya kwy gemu za watotoHii clip ya chini, kutokea "Al Jazeera Arabic" inaonesha magari ya siri ya deraya ya mazayuni, waliyotamba kuwa hayapigiki, yakichezea kichapo mpaka kuita helicoper ziwasaidie:
View attachment 2820326