Mayai ya Bundi.

Tpc93Y+EQqs5ctlNCxgYobWKSTONEQchxgEZsFaUXMMBa10EILLbRAaFjUQgsttPgjfgMbMivoaJYpxgAAAABJRU5ErkJggg==
 
Kuna wengine wanasema ukisha chukua mayai yake unaenda kuyaweka sehem bundi atakutafuta mpaka apate mayai yake na pale atakapo chukua atakuachia kijiti ambayo watu usema ni master key unafungua kila kufuli tatizo ni kupata hayo mayai bundi anapalua balaa nilisha kumbana nae utoton dalini.
 
hahhahaaaaaaaaaaaaaa nimecheka sana,hii thread Mzizimkavu inamuhusu,mwambieni jamani yalipo hayo mayai ya bundi akimbie fasta kuyafata lol
 
hahahaha hiyo kali sasa mi nakushauri tumia yai moja kupata utajiri na jingine lihifadhi then ukishapata uje utupe feedback ya mayai yako na utajiri.then tutangazie biashara ya hilo lililosalia.
 
Kina mama wanatumia kama Limbwata, akikukorogea kwenye menu hakika wewe unakuwa mchna wote hupendi mwanga, ni mtu wa ndani tu kama yule mjusi mweupe wa ndani (huwa pia wanaweza kuchanganyia kwenye menu)
 
Kina mama wanatumia kama Limbwata, akikukorogea kwenye menu hakika wewe unakuwa mchna wote hupendi mwanga, ni mtu wa ndani tu kama yule mjusi mweupe wa ndani (huwa pia wanaweza kuchanganyia kwenye menu)
Sasa hilo limbwata likikubali si nitakuwa nashinda ndani tu,halafu pesa ya ku-run maisha inapatikanaje?
 
Idadi ya bundi inazidi kupungua duniani. Hasa kutokana na ukataji miti (misitu) na upanuzi wa makazi. Fanya hima kuyarudisha hayo mayai ili kuokoa kizazi cha bundi.
 
Back
Top Bottom