Maximo hana first 11, miaka miwiliii...!!!!!!!

Kireka1980

JF-Expert Member
Mar 18, 2008
302
43
Mimi siamini kama huyu maximo ni kocha mzuri, yaani hadi leo hana first eleven wala formation hana. Jana amesema atabadilisha wachezaji 7 kwenye kikosi kilichocheza na Senegal.
Hivi kwa support/facilities tuliyo/zo nayo/zo ndio tunakuwa na performance ya chini hivyo????
HUO NI WANGU MTAZAMO!!!!!
 
nakuunga mkono Maximo hatufai, hana mpya, kwani wachezaji waliopo nani kamchagulia?.
mwanzo alikua akidai mpira wa Tanzania haukui ajili hatuna professionals sasa mashindano haya si ya ma Professionals inakuweje anashindwa kuperform. sisi tunataka performance sio blahblah za kukuza mpira.
 
- Maximo ana tatizo lipi?

- Maximo anachagua wachezaji kutoka Simba na Yanga!

- Simba na Yanga wanacheza mpira kutegemea "kamati za ufundi"!
 
Back
Top Bottom