Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

Status
Not open for further replies.
...jamani mtu kapata ajali, tafadhalini msi-like thread

ndugu Okw Boban ku Like hakumaanishi tafsiri ya moja kwa moja ya neno like/kupendezwa, kwenye mitando ya kijamii maana yake halisi ni pana sana! in this case mtu aki press like anaweza kuwa anamshukuru mleta habari kwa kuleta taarifa, au kuthibitisha tukio ni la kweli, etc. Kule fb mtu ia anaweza ku like ili na wengine nao waone. Asante.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom