Mawaziri wa serikali ya Kikwete Wazomewa Mwanza

Na waendelee kuzomewa tu,MUNGU akiamua jambo lazima litekelezeke!
Wengine wameanguka na gari la serikali wakiwa na pembe za ndovu!
 
Mawaziri wa serikali ya kikweta akiwamo mwakyembe'' Mangula na Nape wazomewa na wananchi nyamagana mwanza wakidai mangula ni mtuhumiwa wa EPA Namba moja na serikali ya CCM imejaa mafisadi na haina majibu ya kero zinazowakabili watanzania.
....umeshindwa kuweka pic?....fb kuna pics kabisa wwGT unashindwa nn
 
Mawaziri wa serikali ya kikweta akiwamo mwakyembe'' Mangula na Nape wazomewa na wananchi nyamagana mwanza wakidai mangula ni mtuhumiwa wa EPA Namba moja na serikali ya CCM imejaa mafisadi na haina majibu ya kero zinazowakabili watanzania.

chapa lapa haraka sana UFIPA ukachukue chako....tumeshakusikia
 
alieleta huu uzi ni mhuni na ovyo kabisa

Ivi wewe ni Makupa yupi? ni wewe wa hapo udom? au kuna makupa mwingine? ila si wewe..Makupa ninayemjua hawezi kuwa na akili za kikuku kama wewe!! unaaibisha majina ya watu tu..
 
Mawaziri wa serikali ya kikweta akiwamo mwakyembe'' Mangula na Nape wazomewa na wananchi nyamagana mwanza wakidai mangula ni mtuhumiwa wa EPA Namba moja na serikali ya CCM imejaa mafisadi na haina majibu ya kero zinazowakabili watanzania.
Unatamani ingekuwa kweli eehh
 
Sahara walisema wenje kanunulia vijana viroba ili wafanye fujo.nyamagana sijui watasemaje.ccm mwanza hawana jipy yaani sawa na uozo.watazomewa tu hata wakifanya nn.hawana jipya.
 
Ni kweli leo wamezomewa sana, walokuwa wakizomewa ni nnape na yule babu(yule mchezaji wa reserve) wamezomewa sana wakaamua kuwapiga vijana na nimeshuhudia wakimpiga machinga mmoja alikuwa kwenye biashara zake makoloboi wakamuumiza mbele ya polisi kisha mahali alipokuwa amepanga bidhaa zake kulikuwa na bango la kamanda wenje. vijana wa ccm wajinga eti wakamuua kufanya fujo nao kwa kujib kwa kuwa piga vijna waliokuwa wakizomea na kuonesha vidole viwili wakati viongozi wao akiwemo nape amewaona vijna wa mwanza kuwa huwa hawadanganyiki kabisa kwa propoganda za kitoto. watu wamepigika una leta mzaha mambo yao ya mzaha na proganda ziwe zinaishia dodoma tu sio the rock city.
 
Huu ndo uzi magreat thinker wa chadema wanadai ndo unaopaswa kujadiliwa,lakini sio vitu vilivyotokea kweli hususan mikopo ya ruzuku etc,lait mleta uzi angepita uwanja wa nyamagana asingefika hapa kumwaga pumba hizi,magazeti ama tv zitamuumbua kesho.
 
Back
Top Bottom