Mawaziri msifanye kazi kwa kumfurahisha Rais

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,529
Ni vyema mawaziri mtende Kazi zenu kwa umakini,,na sio kila kitu kumnukuu Rais.

Sasa hivi kila waziri akiongea lazima utasikia maneno " Rais alivyosema/anavyotaka."

Kuweni wabunifu kwenye wizara zenu na si kusubiri na kudandia hoja za Rais.

Msizani kutamkatamka neno rais ndiyo mtaonekana watendaji wazuri.

Adi sasa Ris kwa nafasi yake ameshaperfom >80%,,,lakini sijaona waziri ata mmoja amekifikisha japo 40% kwenye ufanisi wa majukumu yake.
 
40% yote hiyo hata 0% hawajafika
Yaani ukichukua hizo shughuli zao zote wanazofanya ukipitisha kwenye pragilize checker utakuta orginality ni 15%.
Wanaquote, wana-paraphase, wanabold na kuitalic maagizo kama yalivyo isipokuwa ni occasion na sauti na muda ndo tofauti
 
Ni vyema mawaziri mtende Kazi zenu kwa umakini,,na sio kila kitu kumnukuu rais.
Sasa hivi kila waziri akiongea lazima utasikia maneno " rais alivyosema/anavyotaka."
Kuweni wabunifu kwenye wizara zenu na si kusubiri na kudandia hoja za rais,.
Msizani kutamkatamka neno rais ndiyo mtaonekana watendaji wazuri..
Adi sasa mh rais kwa nafasi yake ameshaperfom >80%,,,lakini sijaona waziri ata mmoja amekifikisha japo 40% kwenye ufanisi wa majukumu yake.
Hakuna waziri anayefanya kwa akili zake. Wote wanaagizwa ndo maana wanasema hivyo.
 
Kuna waziri wa kumkatalia kitu muheshimiwa rais? Au kunyanyua mdomo kumwambia hapo anakosea?
 
Ni vyema mawaziri mtende Kazi zenu kwa umakini,,na sio kila kitu kumnukuu rais.
Sasa hivi kila waziri akiongea lazima utasikia maneno " rais alivyosema/anavyotaka."
Kuweni wabunifu kwenye wizara zenu na si kusubiri na kudandia hoja za rais,.
Msizani kutamkatamka neno rais ndiyo mtaonekana watendaji wazuri..
Adi sasa mh rais kwa nafasi yake ameshaperfom >80%,,,lakini sijaona waziri ata mmoja amekifikisha japo 40% kwenye ufanisi wa majukumu yake.
Ushauri mzuri sana
 
40% yote hiyo hata 0% hawajafika
Yaani ukichukua hizo shughuli zao zote wanazofanya ukipitisha kwenye pragilize checker utakuta orginality ni 15%.
Wanaquote, wana-paraphase, wanabold na kuitalic maagizo kama yalivyo isipokuwa ni occasion na sauti na muda ndo tofauti
Pro. Muhongo ndo waziri ninayemkubali kwa sasa, angalau maumivu ya umeme yamepungua kwa kiasi kikubwa.
 
Hivi sasa hakuna anae tumia akili yake wote wanafanya kwa mizuka tu!!!
Nchi hivi sasa iko kwenye majaribio ya uongozi.
Kama hata vyama vya upinzani wan andikiwa la kuongea na Ccm hapo kuna utawala au kuna maigizo?
 
Kazi kuu ya Waziri ni kumsaidia Rais.Rais ndie ameingia Mkataba na Wananchi hao Mawaziri Majina yao yamwandikwa kwa pensel muda wowote yanafutika
 
ina maana rais akishtukiza na wa wanashtukiza. akitumbua na wao. akisema nahamia nao ...
 
Rais akitembea motion flan na mawaziri wana-copy na wao wanatembea the same motion.
Sawa sawa Mkuu, Mfano Mzuri ni huu wa DODOMA, ulimsikia Jenista Mhagama alivyodakia na kujifanya kuwa ana uchungu na makao makuu kuhamia DODOMA kuliko MAGUFULI mwenyewe!
 
Sawa sawa Mkuu, Mfano Mzuri ni huu wa DODOMA, ulimsikia Jenista Mhagama alivyodakia na kujifanya kuwa ana uchungu na makao makuu kuhamia DODOMA kuliko MAGUFULI mwenyewe!
umetoa mfano mzuri sana
 
Back
Top Bottom