Mawasiliano na Ministry Of Natural Resources & Tourism

Kidatu

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
1,554
321
Jamani wana bodi huu ni mwezi wa pili nimekuwa nikijaribu kuwasiliana na wizara husika lakini bila mafanikio. Labda nina namba za simu , fax na email address za zamani, lakini katika website yao contact details zao ni kama ifuatavyo,

Ministry Of Natural Resouces ana Tourism
Box 9372
Dar es salaam
255-222-111061-4
fax 255-222-113082
mail ni ps@mnrt.go.tz

Nimejaribu namba za simu zote lakini naambiwa zimesitishwa kwa muda, fax haifanyi kazi, nimetuma mail mara nane na nimeandika barua mbili attn PS lakini hakuna majibu.

Tafadhali nilikuwa naomba msaada hapa jamvini kama kuna mtu anaweza kunisaidia jinsi ya kwasiliana na wizara hii kwani ni muhimu tafadhali.
 
mkuu jibu lako ni veeeeeeeeeery low........nakufananisha na jamaa moja kule kwa michuzi anaitwa peter nalitolela

Taratibu mkuu....nilikuwa napasha kwanza kabla ya kuingia uwanjani kumsaidia....si umecheki nishamsaidia mkuu
 
Jamani wana bodi huu ni mwezi wa pili nimekuwa nikijaribu kuwasiliana na wizara husika lakini bila mafanikio. Labda nina namba za simu , fax na email address za zamani, lakini katika website yao contact details zao ni kama ifuatavyo,

Ministry Of Natural Resouces ana Tourism
Box 9372
Dar es salaam
255-222-111061-4
fax 255-222-113082
mail ni ps@mnrt.go.tz

Nimejaribu namba za simu zote lakini naambiwa zimesitishwa kwa muda, fax haifanyi kazi, nimetuma mail mara nane na nimeandika barua mbili attn PS lakini hakuna majibu.

Tafadhali nilikuwa naomba msaada hapa jamvini kama kuna mtu anaweza kunisaidia jinsi ya kwasiliana na wizara hii kwani ni muhimu tafadhali.

Mkuu website nyingi za serikali ni kama museums......hazina updates miaka nenda miaka rudi
 
Website zote za serikali ni balaa....ila ukienda wizarani hao ma system admn wamejaaa kama vile....madereva wa deiwaka' pale manzese.....hawaka kazi wanayofanya.....wanasubiriaa perdiem waende work shop na semina..
 
bwa ha ha ha ha umeua.......inatia hasira wizara nyeti kama hii ya utalii inabidi awepo mtu/watu 24/7 wana monitor incoming infor ndio maana wakenya wanasema mt kilimanjaro upo kwao hio mijitu wizarani inauza nyago tu....inaboaaaa
 
Jaribu tena namba zifuatazo;

Tel: +255 22 211162-5
Fax: +255 22 2130091

Namba hizo nazo hazifanyi kazi nimejaribu mara nyingi lakini hakuna mafanikio. Hii ni aibu kwa wizara nyeti kama hii kukatiwa simu.

Mama Mwangunga vaa kibwebwe ondoa uchafu wizarani hapo.
 
Back
Top Bottom