Mawakili wa Gwajima wamwandikia Kova barua

Hakika chombo hiki cha police tanzania ni chombo ambacho kipo remoted na chama tawala sio chombo huru / god blesse
 
Hakika chombo hiki cha police tanzania ni chombo ambacho kipo remoted na chama tawala sio chombo huru / god blesse

Polisi hawafanyi kazi kwa katiba ya ccm. Wanafanya, kufuata na kulinda sheria za nchi. Hawaangalii cheo au joho la mtu
 
AFANDE KOVA HIO NIAIBU SANA SANA KAMA UKUWEZA KUTOKAMUDA WOTE HUTOKITENA KIMAISHA GWAJIMA HAJUIKUHONGA MKITAKA ATAWAPA VIElELEZO VYOTE.BILAKUTOA 500
 
inasemekana kinachomponza gwajima ni urafiki wake na lowasa pamoja na dr.slaa.

mkuu sikweli
nikitendo cha gwajima kuwaumbua jeshilapolice walipodai mtuhumiwa da ulimboka kakiri kanisa lagwajima asbh gwajima akakana nakiwaomba wakome kabisa kutmiajinalake
 
kwani roho mtakatifu anamwambia afanyeje?
au gwajima anaongozwa na roho wa aina gani?

Ninakushauri uache dhihaka na Mungu. Usijione mjanja. Mungu hadhihakiwi. Unaweza kudhani unachekesha lakini ukajiletea balaa wewe na familia yako. Mwogope Mungu. Ushauri wa bure.
 
Waliwahi kuja kwangu kunifanyia upekuzi bila warrant wamevaa kiraia hawana vitambulisho nikakataa kusachiwa kihuni mmoja kasema Ngoja nikachukue warrant alipofika kwa mkuu wake kamweleza jamaa nijeuri amekataa kupekuliwa zilikuja gari mbili zimejaa police hapo kipigo na wageni nilikua nao pia wakachezea kipigo,baada ya upekuzi hawajakuta chochote ili kunitia adabu wakanibeba mm na mgeni wangu na mke wangu bila kujali alikua na kichanga cha week moja tena kajifungua kwa operation wote kituoni na hatukutoka bure

Kwa hiyo unadhani kila mmjoa nimrahisi kiasi hicho!
Kiufupi wewe ulionewa na kudhalilishwa haki yako ,lakini kinachoumiza umegeuka kuwa b............kwa kuona ulichofanyiwa ni mfumo wa Kawaida.

Tupia ni Polisi wa Kituo gani walikufanyia hivyo na je ulifanikiwa kukariri namba ya Gari kama wao walikuja bila kuvaa Uniform yao.

Haki hudaiwa na mara nyingi haipatikani kiulaini.

Sasa subiri uone kitakacho endelea na Issue hiyo ya Gwajima.Wamekwisha andikiwa Barua kinachofuata ni hatua za kisheria.
Si wao wanatekeleza Sheria basi imefika mikono sahihi (Wakili-Kibatala)


 
Hakuna bosi anayeweza kuogopa vyombo alivyounda mwenyewe vimtumikie; hivi ni kifungu gani cha katiba kinachosema raia waogope polisi, mahakama na bunge au dola kwa mfumo wowote?

Ndugu yangu, mimi naungana na wewe kushangaa hasa ninapoona huyo "boss" anapoitwa kwa mahojiano na hivyo vyombo alivyoviunda mwenyewe ili vimtumikie, anapoombwa vielelezo ili atumikiwe vizuri, anaanza kutetemeka, kutokwa jasho, na kuzimia (kwa kadiri ya daily news la tarehe 29 March 2015). Hivi hiyo ni nini ? SIO KUOGOPA ?, naungana na wewe kushangaa, mfano, pale unapotakiwa na Polisi wabarabarani utoe kadi ya gari lako, au lesseni yako, ili ukaguliwe, manake utumikiwe, unaanza kutetemeka, kutokwa jasho,kuzimika, na may be kuanza kutafuta mawakili wakusaidie ili usiweze kutoa vielelezo hivyo. THAT IS MY CONCERN, unakuwa na mashaka gani? hata sijasema mtu aogope, IT IS HIM ALIYEOGOPA baada ya kutamka bila mashaka kuwa HAOGOPI, what happened ? pia najua unachouliza, itafika wakati nitakujibu.Unapokuwa mikononi mwa vyombo vyako vya ulinzi, na unaagiza Pistol na risasi ili kujilinda, wewe "BOSS" wetu unakuwa na mashaka gani ? PLEASE, NAJUA WEWE NI MSOMI, HELP ME, HELP MY FRIENDS AS WELL
 
Yeye SIO DOLA, that is why baada ya kutukanwa amekaa kimya. Gwajima kwa mdomo wake alisema haogopi DOLA: haogopi Polisi, haogopi mahakama na wala haogopi Bunge...That is what he said, kumbe wakili wa nini ?

Kwani wewe unaogopa DOLA? Kama ni hivyo utakuwa ni mtenda maovu! Mtu aliye safi hana sababu ya kuogopa DOLA, polisi au mahakama.
 
Sijawhi kuona wapuuzi kama jeshi la polisi ina maana nyaraka zote hizo wao hawana???Mpaka hellcopter imeingizwa wao hawajui mpaka usajiri wa kanisa hawajui,kumbe sisi tunaishi salama kwa kudra za Mungu tu Polisi kwa hili mmeonekana hamjui wajibu wenu,ina maana kama Pengo asingekemewa basi msingeuliza nyaraka hizo?????
kwani roho mtakatifu anamwambia afanyeje?
au gwajima anaongozwa na roho wa aina gani?
 
kwani roho mtakatifu anamwambia afanyeje?
au gwajima anaongozwa na roho wa aina gani?

Angekuwa anaongozwa na roho mtakatifu asingeweka mawakili maana huyo roho angempa la kusema maana neno linasema watapo wapeleka mabarazani msiwaze mtasema nn maana roho mwenyewe atawaongoza,hivo kaka gwajima anaongozwa na mawakili siyo na roho mtakatifu
 
Polisi wafa maji wanatapatapa tu mara kamtukana Pengo mara Leseni ya hellcopter,mara usajili wa kanisa.

Polisi wanayo wanayoyajua ila walimmezea kwa kuwa jamii inamwamini jamaa kama mtumishi wa Mungu, kumbe nyuma yake jamaa ni mdhulumaji na mtu asiye na deal za bhalali
 
Gwajima asiishi katika material world, material life, aishi kwa vitendo katika spiritual world, spiritual life apambane kiroho kwa maombi sala na toba, aachane na mawakili ni kumkaribisha shetani
Kama kweli yeye ni mteule mtenda miujiza na anayeamini katika roho na kweli, asimame na Mungu sasa na kuonyesha kwa vitendo kile anachohubiri na kukiamini
Aachane na craving katika vitu na pesa, ada za mawakili azipeleke kuwasaidia wahitaji, afunge na kujitenga na ulimwengu wa sheria za mwanadamu ataona miujiza ikitendeka,. Asichanganye Mungu na dunia

imeandikwa usimjaribu bwana mungu wako je unataka amjaribu mungu kwenye nashauri ya kibinadam? hata yesu alipelekwa kwa pilato na alijitetea kama anavyo fanya gwajima .THINK BIG
 
Msiotaka Gwajima kutumia mawakili naomba jambo moja kwenu.

Nendeni kanisani kwenu RC muwashauri viongozi wenu wawaondoe MAWAKILI katika kesi zote zinazolihusisha kanisa lenu kwa maana roho wa bwana atalitetea kanisa lenu katika hizo kesi.

Mkishafanya hivyo njoni hapa mumtake Gwajima naye aachane na kina Kibatala.

Msipofanya hivyo itakuwa dhahiri ninyi ni WANAFIKI na MAWAKARA WA KUZIMU mnaotumiwa na roho ya mpinga kristo kwa kujifanya mnajua saaaana akati ni unafiki tu na chuki binafsi ndo vinawasumbua.

Policcm futuhi tu: mara umemtukana Pengo, mara bastola huimiliki kihalali, mara ulitaka kutoroka ukiwa chini ya ulinzi, mara wewe siyo raia wa Tanzania mara tuletee nyaraka..............
Yaani hawa watu ni dhahiri wanalazimisha kutafuta makosa ktk maisha ya Gwajima na kwasababu naye ni binadamu anaweza kuwa nayo ila hizi ni hila za wazi mchana kweupe na wote wanaozitetea ni vigagula tu na wabeba vibwengo.

Yesu ni Mungu na hakuna wa kushindana naye.
 
imeandikwa usimjaribu bwana mungu wako je unataka amjaribu mungu kwenye nashauri ya kibinadam? hata yesu alipelekwa kwa pilato na alijitetea kama anavyo fanya gwajima .THINK BIG

Akiwa na mawakili au pekeyake? Ishu ni kuajiri mawakili wa kumsaidia kisheria sio kujitetea, mawakili hawajui haki na ni wadanganyifu wakubwa, hata kama umeua unamwambia wakili wako ukweli nimeua halafu yeye ndio anacheza na sheria mpaka unaonekana huna hatia na unaachiwa huru
 
Kwani wewe unaogopa DOLA? Kama ni hivyo utakuwa ni mtenda maovu! Mtu aliye safi hana sababu ya kuogopa DOLA, polisi au mahakama.

Jamani, anayeogopa dola ni Gwajima. That is why Daily news latarehe 29/3/2015 liliandika kuwa wakati Gwajima anaanza kuhojiwa na Polisi, alitetemeka sana, akatokwa jasho sana, kisha akazimika. Ndiyo maana nikashindwa kuelewa, nikauliza, je ni Gwajima Yule aliyesema kuwa haogopi polisi, mahakama na hata bunge ? kulikoni tenakutetemeka, kutokwa jasho, na kuzimia wakati anahojiwa tuuuuu ? THAT WAS MYCONCERN. Na juzi nikajiuliza tena, Mtumishi wa Mungu ameambiwa apeleke vielelezo fulanikule polisi, mbona tena MAWAKILI ? Kwani polisi wanaendesha kesi ?, si ni mahojiano tuuu ? au amewaza nini ? Mimi Binafsi, siogopi, nikihitajika kwenda kuhojiwa naenda, nikihitajika kupeleka birth certificate, napeleka, nikihitajika kupeleka kadi ya gari,NAPELEKA TU. I am sorry, may be umekuta story ikiendelea, but that was my concern
 
Back
Top Bottom