Mawakala wa CHADEMA wachachamaa

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
katika hali inayoonyesha ukomavu wa kujua sheria...mawakala wa chaema wambana mkurugezi kageshi juu ya form namba 17 ashindwa kujibu aokolewa na lema
 
Yegella unapoamua kuanzisha thread ili kutpa habari wana JF wenzio lazima pia utufikirie kwamba na sisi ni binadamu tunao hitaji kufahamu kilichojiri kweli kwa hiyo taarifa unadhani umetuhabarisha au umetupa maswali zaidi
Kwa nini walichachamaa
Kwa nini formu 17 ilizungumziwa
Kwa nini lema alimwokoa
tafadhali jibu maswali yangu
 
Kwani wakala ana mamlaka ya kujua watu gani wanatakiwa kupiga kura zaidi ya kuhakikisha kura za vyma vyao
 
Yegella unapoamua kuanzisha thread ili kutpa habari wana JF wenzio lazima pia utufikirie kwamba na sisi ni binadamu tunao hitaji kufahamu kilichojiri kweli kwa hiyo taarifa unadhani umetuhabarisha au umetupa maswali zaidi
Kwa nini walichachamaa
Kwa nini formu 17 ilizungumziwa
Kwa nini lema alimwokoa
tafadhali jibu maswali yangu
safi sana mkuu . Atupe source pia tumechoka na mambo ya kupika hapa JF, facts zitawale badala ya hisia.
 
Yegella unapoamua kuanzisha thread ili kutpa habari wana JF wenzio lazima pia utufikirie kwamba na sisi ni binadamu tunao hitaji kufahamu kilichojiri kweli kwa hiyo taarifa unadhani umetuhabarisha au umetupa maswali zaidi
Kwa nini walichachamaa
Kwa nini formu 17 ilizungumziwa
Kwa nini lema alimwokoa
tafadhali jibu maswali yangu
hata wewe umfikirie kama naye ni binadamu,pengine mazingira yanamfanya asiweze kutoa details kwa sasa.
 
lema ilibidi aingilie kati na kuwa ambia wawaachie viongozi walishungulikie wakati huohuo wanafunzi wa shule moja ya msingi walijumuika kwenye maandamano yasiyo rasmi
 
Basi angesubiri wakati mwafaka lakini kutelea blanket statements inasikitisha kila mtu anawategemea wana JF walio huko front line kulifahamisha jukwa mambo yanayojitokeza huko na kweli wamejitahidi sana kwani sisi tuko mbele ya magazeti ya siku kwa kupata habari na picha namuomba basi atueleze kwa kina hadithi hiyo aliyoweka kwenye uzi
 
asubiri kwani yeye ni TBC?
Habari za jf ni live...sasa wewe unataka uhabarishwe kama mashairi ya shaban robert.
 
lema ilibidi aingilie kati na kuwa ambia wawaachie viongozi walishungulikie wakati huohuo wanafunzi wa shule moja ya msingi walijumuika kwenye maandamano yasiyo rasmi
Mkuu hapo kwenye RED udhani kama unarudia makosa yale yale aliyokulalamikia Froida?
Maandamano yasiyo rasmi ya nini na kwa sababu zipi?
 
Mi sijaelewa.......yani sijaelewa kwamba issue ilikuwa ni nini kwenye form n.17........na viongozi gani watashughulikia

Nafahamu kwamba hii ni issue, na ni karata ya CCM........hizi form hazitapelekwa vituoni.......wait and see!!
 
Mkuu hapo kwenye RED udhani kama unarudia makosa yale yale aliyokulalamikia Froida?
Maandamano yasiyo rasmi ya nini na kwa sababu zipi?

ya mawakala wakitoka kuapishwa huku wakisindikizwa na madereva toyo
 
Hii thread(habari) haijajitosheleza kiasi cha kuifanya iwe fruitful kwa wanaJF.
Yegella analeta habari nusu nusu tu as if nasi tuko eneo la tukio!!
 
Mimi ni mmoja wa wanaopenda sana CDM ishinde. Hata hivyo thread hii ni moja ya threads dhaifu sana. Yegella hakujipanga katika kuleta hii habari. Mkuu Jackbauer huna haja ya kumtetea Yegella, ameandika vibaya na ilhali anadai alikuwepo eneo la tukio. Ni kama vile anahitaji kubembelezwa ili kuleta details. Si kila habari ni lazima uianzishie thread kama huna maelezo yaliyonyooka na hasa kama unadai ulikuwepo!! Tumezoea akina Rejao ndiyo walete propaganda kama hizi.

THIS IS VERY BORING YEGELLA!!!
 
Back
Top Bottom